Kweli ccm mbele kwa mbele asiyependa ale ndimuusifanye makosa october.
Mpeleke dr. Magufuli ikulu.
Lowassa, masha, sumaye , rostam aziz ... Mtakuwa mmebadilisha nini?
Hata uandike nini kura yangu ni kwa lowassaVyovyote vile tofauti ni kwamba Raisi Kikwete siyo mtu binafsi bali ni taasisi hata kama atakuwa amepeleka Gesi yetu Bagamoyo hilo siyo tatizo kwa maana Bagamoyo bado ni TanZania na kama Bagamoyo ikifaidika basi TanZania pia itakuwa imefaidika kwa maana mtu wa Tanga au Kigoma anaweza kwenda Bagamoyo na kupata kazi na isitoshe Raisi Kikwete muda wake umeisha na Raisi mwingine anakuja lkn Gesi yetu inabakia mali yetu tofauti na fisadi Lowasa na Genge lake ambao wanataka kujimilikisha wao pamoja na familia zao na hilo kosa la kuwapa madaraka likifanyika TanZania yetu kama tuijuavyo ndiyo bye bye tena na itachukua vita kubwa kama Kongo kuweza kuipokonya kutoka kwenye hili Genge!
Na ndiyo maana naipongeza sana tume ya maadili ya CCM kwa kuona mbali!
Kwa hiyo yule mtoto wa mkubwa aliyeandaliwa kuwa msambazaji pekee wa hiyo gesi ni mtoto wa Lowasa? Na in Lowasa aliyeshinikiza ule mswada wa mafuta na gesi upitishwe haraka haraka bungeni? Msifikiri sisi watanzania ni wajinga kiasi hiki na hat it a sang any oka mwaka huu lazima muondoke mtuachie rasiimali zetu mlizoatamia.
Watanzania Lowassa hatokuwa peke yake. Atakuwa na timu nzima ya makamanda nyuma yake. Nchi haitawaliwi na mtu bwana CCM msitudanganye. Kinatawala chama. Viva CHADEMA viva UKAWA!
Hata lowassa akiiuza tanzania kwa marekani bado ntampigia kura aniuze tu maana hakuna nam nyingine, sio gesi tu, hata akituuza watanzania tuko radhi.
Kwani we ndo nani?Kwamba na mimi nimepewa kiroba?
Genge la ccm ni hatari zaidi na tumelijua hilo kwa miaka 54 .[/ wewe vepeeeee, yaani huoni nini kimefamyika 54 years? Je tulikua hivi hapajabadilika? Acha upang'ang'a wewe