Lowassa mkombozi wetu karibu Urambo!!

Lowassa mkombozi wetu karibu Urambo!!

MPAMBWE

Senior Member
Joined
Apr 4, 2015
Posts
137
Reaction score
29
Wakuu kama kawaida yetu wapenda mageuzi tumejazana kwenye uwanja wa mpira wa shule ya msingi Urambo tukimsubiri mtu aliyebeba robo tatu ya matumaini yetu watz ktk kutukomboa kutoka kwa mkoloni mweusi Ccm, kina mama wao mida hii wanapewa chakula cha uzima na mama Regina katika ukumbi wa victoria uliyopo hapa hapa Urambo, naomba kuwasilisha!!
 
Malofa katika ubora wetu!! Ngoja ifike oct 25!! Hata wasemeje sisi tushafanya maamuzi na lowassa ndiye chaguo letu!!
 
Wakuu kama kawaida yetu wapenda mageuzi tumejazana kwenye uwanja wa mpira wa shule ya msingi Urambo tukimsubiri mtu aliyebeba robo tatu ya matumaini yetu watz ktk kutukomboa kutoka kwa mkoloni mweusi Ccm, kina mama wao mida hii wanapewa chakula cha uzima na mama Regina katika ukumbi wa victoria uliyopo hapa hapa Urambo, naomba kuwasilisha!!
yanapigwa kotekote...Rorya tunamsubiri sana......heri nichague jiwe kuliko ccm....Tukiwa na miaka 23 ktk upinzani nina uzoefu zaidi kuliko Lipumba,dr.slaa
 
Karb saana kahama hio 14/ 09 / 2015 ufke hadi kakola mabadiliko mwanzo mwisho
 
11997514_10205260772823634_1056402572_n.jpg
 
Ni mtizamo wake tu kama mtz

Humu jf nimegundua Id ambazo ni kongwe nyingi hazimtetei ila kuna baadhi zinamtetea kwa maslahi yao zilizojaa mpya tu

Vijana nendeni field sio kwenye mitandao hapa ni kakikundi kadogo sana ka watu

Hii ndo siasa za tz na watz ni unafiki na wanafiki tu mwanzo mwisho
 
daaa nashangaaa wengine wanasema hapa kazi wakati huna kazi mmmmh
 
HV WACHAWI WAPO KWELI? HV KWANINI WASIILOGE CCM IFE KABISA? Hv Wanafurahia Vijana Waliahidiwa Ajira Leo Wanaokota Makopo Kama Wendawazimu? Hivi Waganga Wote Mkipandisha Mashetani Yenu Mtaishindwa Ccm? Au Maisha Haya Mnayafurahia?
 
HV WACHAWI WAPO KWELI? HV KWANINI WASIILOGE CCM IFE KABISA? Hv Wanafurahia Vijana Waliahidiwa Ajira Leo Wanaokota Makopo Kama Wendawazimu? Hivi Waganga Wote Mkipandisha Mashetani Yenu Mtaishindwa Ccm? Au Maisha Haya Mnayafurahia? Kama Mnauwezo Wa Kuiroga Mvua Kwanini Msiiroge Ccm Ikafa Kabisa?
 
Mkiwa Kahama, Bwana Makene kama upo kwenye kampeni hizo piteni kijiji cha Mwakata ambacho tarehe 03.03.2015 ilinyesha mvua ya mawe na kuleta maafa ya makubwa. Rais Kikwete alikwenda na kuahidi kuwajengea nyumba wahanga lakini hakuna kilichofanyika mpaka sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom