Wakati KANU inakufa Kenya walichagua mpinzani Mwai Kibaki ambaye alishakuwa makamu wa raisi wa Moi,huwezikupata watu wapya kabisa kwenye siasa tunachotaka ni kuutoa mfumo wa CCM basi.CCM OUT
Umesahau kusema Baada ya kutolewa Kanu miaka kadhaa leo Shule zote za msingi nchini Kenya zimefungwa kutokana na Mgomo mkubwa wa Walimu Nchi nzima.
nikitadhmini hii nafasi ya uwaziri mkuu hapa nchini kwa miaka 20 sasa na aina ya watu walio kalia hiki kiti ndani ya kipindi hiki. Mmmmh kazi ipo!
Kama kigezo ni muda, ccm ina miaka zaidi ya 50!!!!,Inashangaza wagombea hawa, wanaoshabikiwa na kundi kubwa la Watanzania, Walikuwa serikalini, wakiwa kama wasimamizi wakuu wa shughuli za Serikali, leo wanaongea utafikiri wao ni wapya, tunawashangilia eti kwasababu tumeichoka ccm. Mimi ni mmojawapo kati ya walioichoka ccm, lakini kuniletea waliokuwa mawaziri wakuu ambao wanasimama majukwaani na kuikosoa serikali ambayo kwa miaka 13 wao wamekuwa ni viongozi wakuu katika shughuli za Serikali ni mchezo wa kuigiza. Sumaye miaka 10 umeshau nini huko serikali, huyo unayemnadi Lowasa amesahau nini kama sio njama za kuwahuumu watanzania.
Itabid tuseme msemo mmoja wa marekani **whether he will bring development or not we will choose obama to show the world that America is for everyone.*** na sis tunasema***whether he will bring development or not we will choose LOWASA from UKAWA to show the world that Tanzania is not for CCM only.Inashangaza wagombea hawa, wanaoshabikiwa na kundi kubwa la Watanzania, Walikuwa serikalini, wakiwa kama wasimamizi wakuu wa shughuli za Serikali, leo wanaongea utafikiri wao ni wapya, tunawashangilia eti kwasababu tumeichoka ccm. Mimi ni mmojawapo kati ya walioichoka ccm, lakini kuniletea waliokuwa mawaziri wakuu ambao wanasimama majukwaani na kuikosoa serikali ambayo kwa miaka 13 wao wamekuwa ni viongozi wakuu katika shughuli za Serikali ni mchezo wa kuigiza. Sumaye miaka 10 umeshau nini huko serikali, huyo unayemnadi Lowasa amesahau nini kama sio njama za kuwahuumu watanzania.
Hata hivyo CCM iondoke tu. Hao wameshakuja na kuongozwa sala ya toba na kuingia katika gari la mabadiliko. Hata angekuwa Mkapa ilimradi anaongoza kuuondoa mfumo huu mbovu angeshabikiwa tu. Pole gamba