Lowassa, Mbowe: Mngetusikia na sisi!

Lowassa, Mbowe: Mngetusikia na sisi!

Yes of course biashara huwa asubuhi, viongozi wetu wana cha kujifunza hapo.

Kushikana mikono na kuchekeana wasifikiri serikali ina huruma mno na wapinzani la hasha. Leo mnacheka nao kesho viongozi hao hao wanaamrisha polisi iwapige virungu iwaweke mahabusu na kuwafunga.
Serikali haiwezi kuwa na huruma na wanafiki nyie mnaoiombea mabaya kila saa.
 
Raia mwenye akili timamu yoyote hawezi kukubaliana na ujinga wenu, maandamano yasiyo na kikomo ni upuuzi na upotezaji wa nguvu kazi ya taifa. Subiri tar 1 utajua nani mkubwa.
Chini ya jua hakuna Mkubwa..Mkubwa ni Mungu pekee..pole yako wewe unaemwabudu na kumpigia makofi kwa unafiki japo unajua anakunyima haki zako za msingi na zinazotambulika kikatiba. Nafikiri nitakuwa wa kwanza kupigwa risasi hiyo tarehe moja September.. Na wewe utaishi milele. Waoga kama nyinyi ndo mnazidi kuzorotesha maendeleo ktk nchi zetu masikini za kiafrika.na wazungu wataendelea kutunyonya tu.
 
Lowasa nna kupenda kwakuwa katika taifa hili ni mwanasiasa uliyekomaa.Mbowe ninakupenda kwakuwa umejenga ndoto zetu, umezikuza na hakuna namna ya kukufuta kwenye siasa za Tanzania.

Leo nawaambia ya moyoni!
Kuna mahali wakuu mlikosea.
Pale kwenye uchaguzi mkuu ulioisha, pale matokeo yalipokua yanatangazwa, pale UKUTA ungeangukia kila kima.

Wakati ule nilinukuu usemi wa Julius Caesaer kuwa: There is a tide in the affairs of men if taken at floods could lead to success. Uliokuwa na maana kuwa it was then or never.

Sasa adui hata tuacha, tulikosa kumuua tukamsamehe!

Ok, sasa tumeitunza amani!

Nchi tumekosa na kila siku tunalala sero.

Mimi bado ni mpiganaji, ila makamanda mlizingua!
Mnatupa ugonjwa wa moyo maana wengine tuna damu ya upinzani.
Nikiwaona sero natamaani kufa, ila nifanyeje?
You have chosen the weakest moment to negotiate!

Tupigane ila kuna wakati tusikilizane.
I am your right hand man, I am the opposition itself.
Still I can fight, and yes I will fight!
Acha uvivu, ukawa mlishindwa vibano uchaguzi pamoja na kutoa rushwa, kuleta watalaamu wa kudukua. Ukawa mtaendelea kikundi cha wahuni hasa chadema ambayo ilishakufa siku nyingi.
 
Lowasa nna kupenda kwakuwa katika taifa hili ni mwanasiasa uliyekomaa.Mbowe ninakupenda kwakuwa umejenga ndoto zetu, umezikuza na hakuna namna ya kukufuta kwenye siasa za Tanzania.

Leo nawaambia ya moyoni!
Kuna mahali wakuu mlikosea.
Pale kwenye uchaguzi mkuu ulioisha, pale matokeo yalipokua yanatangazwa, pale UKUTA ungeangukia kila kima.

Wakati ule nilinukuu usemi wa Julius Caesaer kuwa: There is a tide in the affairs of men if taken at floods could lead to success. Uliokuwa na maana kuwa it was then or never.

Sasa adui hata tuacha, tulikosa kumuua tukamsamehe!

Ok, sasa tumeitunza amani!

Nchi tumekosa na kila siku tunalala sero.

Mimi bado ni mpiganaji, ila makamanda mlizingua!
Mnatupa ugonjwa wa moyo maana wengine tuna damu ya upinzani.
Nikiwaona sero natamaani kufa, ila nifanyeje?
You have chosen the weakest moment to negotiate!

Tupigane ila kuna wakati tusikilizane.
I am your right hand man, I am the opposition itself.
Still I can fight, and yes I will fight!
Alex hongera sana kwa ushujaa wa maneno, lakini matendo ndio hukidhi haja maridhawa kuliko maneno! , tumeisha sikia sana maneno na mahubiri ya kutosha kuhusu maandamano na mikutano ya hadhara ya Chadema kuhamasisha UKUTA nchi nzima, lakini kiukweli kabisa nasema kutoka ndani ya nafsi yangu kuwa hakuna maandamano wala mikutano ya hadhara nchi nzima hapo September Mosi! , kwa sababu mpaka sasa sijaona dalili ya maandamano au mikutano nchi nzima!, kilichopo ni maneno maneno matupu! ,lakini matendo. ...

Pasco
 
Ili genge LA kusaka ikulu liliivuruga ccm tangu mwaka 1993 CCM ilipolichoka ikalifukuza sasa na nyie ndo kansa inayowatafuta,
 
Hahah uzuri wa CCM mwaka 2020 kuna uchaguzi Magu wetu akishinda ni mpaka 2025 baada ya hapo ni finito uongozi wa Magu wetu, hivyo ni kweli uko sawa kila jambo lina mwisho kwani 2025 ni lazima aje mwingine lkn mpaka siku hiyo ufike Raisi wa JMTZ ni Pombe Magufuli(PhD)!
Tangu useme air force one ndio ndege kubwa kuliko zote duniani nilikudharau sana.
 
Alex hongera sana kwa ushujaa wa maneno, lakini matendo ndio hukidhi haja maridhawa kuliko maneno! , tumeisha sikia sana maneno na mahubiri ya kutosha kuhusu maandamano na mikutano ya hadhara ya Chadema kuhamasisha UKUTA nchi nzima, lakini kiukweli kabisa nasema kutoka ndani ya nafsi yangu kuwa hakuna maandamano wala mikutano ya hadhara nchi nzima hapo September Mosi! , kwa sababu mpaka sasa sijaona dalili ya maandamano au mikutano nchi nzima!, kilichopo ni maneno maneno matupu! ,lakini matendo. ...

Pasco
Bro kwanza hayo maandamano yana tija gani kwa MASIKINI ? Yanadai maji ? Madawati kwa vijana wetu? Au madawa kwa wanyonge?
Ni upuuzi,
 
Serikali haiwezi kuwa na huruma na wanafiki nyie mnaoiombea mabaya kila saa.
Mnafiki ni wewe You know what? It is written all over your writings and body and mind!! We are talking about democracy! we are talking about rule of law here!! Would you mind to keep at bay when men are talking real issues please!!
 
Kucheka na ili genge LA wasaka ikulu lililoanzia ccm tangu 1993 adi likafukuzwa baada ya kulichoka , taifa litaangamia
 
Tangu useme air force one ndio ndege kubwa kuliko zote duniani nilikudharau sana.

Na tangu ulivyonidharau nimepungukiwa na nini kama dharau yako kwangu ina maana yoyote ile maishani mwangu?
 
Kwakweli hakuna!! Yeye mwenye uwezo wa kuitawanya bahari, mapepo yakamtii asiye na mwisho kwakweli hakuna.
Bro nachofurahi ili genge lilioanzia ccm tangu 1993 likitafuta ikulu tu na kutengeneza mitandao ya wizi nchi nzima lilipofukuzwa likajiona bora sasa wameamua kufa nalo ,lenyewe linataka ikulu wala sio umasikini wa wanyonge ndo maana linapinga wananchi kuripa kodi linapinga hata maendeleo,
 
Na tangu ulivyonidharau nimepungukiwa na nini kama dharau yako kwangu ina maana yoyote ile maishani mwangu?
Kwako haina maana, kwangu ina maana. Hahahahah aisee wewe ni kiazi!! Eti ndege kubwa kuliko zote ni air force one?
 
haa haa kwa sasa too late. magu atawanyoosha mpaka mwisho. haki hupiganiwa....
Its never too late! Where there is a will, there is a way. Don't get too comfortable you maybe caught unaware.....just saying!
 
Wanaomfanyia vituko JPM ni Watu ambao hawataki walio chini waje juu kwa kutumia nguvu zao , wao wanachokitaka ni wao tu wawe juu hata Kama ni kwa njia za mkato, matokeo yake ndio haya ya kuleta fujo na Watu waache vitu ambavyo vitawaletea maendeleo na kujikita kwenye matukio yatakayo fifisha ustawi wawo. Tunajua kuna Watu hawapendi Shule za Watu wa chini wasipate madawati kwani watawashinda ki elimu , kuna Watu hawataki ATC kuwa na ndege zao kwani , Biashara zao zitakwama, kuna Watu hawataki Reli ya Kati ijengwe kwani wasingependa Watu wa sehemu zingine nao wapate maendeleo ya haraka na kuweka usawa wa kibiashara
 
Back
Top Bottom