Lowassa, Mbowe: Mngetusikia na sisi!

Lowassa, Mbowe: Mngetusikia na sisi!

Wanaomfanyia vituko JPM ni Watu ambao hawataki walio chini waje juu kwa kutumia nguvu zao , wao wanachokitaka ni wao tu wawe juu hata Kama ni kwa njia za mkato, matokeo yake ndio haya ya kuleta fujo na Watu waache vitu ambavyo vitawaletea maendeleo na kujikita kwenye matukio yatakayo fifisha ustawi wawo. Tunajua kuna Watu hawapendi Shule za Watu wa chini wasipate madawati kwani watawashinda ki elimu , kuna Watu hawataki ATC kuwa na ndege zao kwani , Biashara zao zitakwama, kuna Watu hawataki Reli ya Kati ijengwe kwani wasingependa Watu wa sehemu zingine nao wapate maendeleo ya haraka na kuweka usawa wa kibiashara
MYOPIC!!!!
 
Mnafiki ni wewe You know what? It is written all over your writings and body and mind!! We are talking about democracy! we are talking about rule of law here!! Would you mind to keep at bay when men are talking real issues please!!
Unataka kuongelea demokrasia, tuanze na ukomo wa madaraka wa uenyekiti CDM, au hiyo kwako sio demokrasia, Nkurunzinza Mbowe ni demokrasia kuwa Mwenyekiti wa maisha ?
Vipi kuhusu haki ya kwenda mahakamani kwa wanachama wa CDM, kwa CDM ukienda mahakamani na ukashindwa kesi unafukuzwa, wewe hii ndio demokrasia unayoililia na kupayuka ?
Unafiki wenu tumeshaujua kwa sasa, kazi yenu ni kupinga pinga tu, kukejeli na dharau za kijinga, hamna jema nyie, mnaoiombea nchi yenu mabaya kama wachawi vile.
KATAA KUWA NYUMB.U
 
Tunaongelea Nchi kutumbukia kwenye udikteta wewe unaleta Unyu-mmbu wa buku saba!! Hivi unaona kusigina katiba ya nchi ni jambo la mchezo eh! Hivi wewe unaona akina Malyamungu wanavyofungia magazeti na redia ni uhai au kifo cha demokrasia ya NCHI? Kama kweli nyie vidume kwenye ulingo wa politics achaneni na kutumia polisi mruhusu haki za kikatiba za mikusanyiko. Imefikia mahali mmefikia hadi kwenda kuchungulia majumbani na mahoteli kuona watu wanafanya au kusema nini. Dictators are always weak in politics! their masters are army forces and their fathers are guns.
You are WEAK!! WEAK!! WEAK!! you are not fit to lead a country!!
 
Lowasa nna kupenda kwakuwa katika taifa hili ni mwanasiasa uliyekomaa.Mbowe ninakupenda kwakuwa umejenga ndoto zetu, umezikuza na hakuna namna ya kukufuta kwenye siasa za Tanzania.

Leo nawaambia ya moyoni!
Kuna mahali wakuu mlikosea.
Pale kwenye uchaguzi mkuu ulioisha, pale matokeo yalipokua yanatangazwa, pale UKUTA ungeangukia kila kima.

Wakati ule nilinukuu usemi wa Julius Caesaer kuwa: There is a tide in the affairs of men if taken at floods could lead to success. Uliokuwa na maana kuwa it was then or never.

Sasa adui hata tuacha, tulikosa kumuua tukamsamehe!

Ok, sasa tumeitunza amani!

Nchi tumekosa na kila siku tunalala sero.

Mimi bado ni mpiganaji, ila makamanda mlizingua!
Mnatupa ugonjwa wa moyo maana wengine tuna damu ya upinzani.
Nikiwaona sero natamaani kufa, ila nifanyeje?
You have chosen the weakest moment to negotiate!

Tupigane ila kuna wakati tusikilizane.
I am your right hand man, I am the opposition itself.
Still I can fight, and yes I will fight!
Mkuu pole sana nakuomba munkari usikuteke.

Kuna mikakati inayoleta manufaa kwa ubora na baraka na mingine inaleta manufaa lukuki kwa hasara/gharama kubwa.

Ni uchaguzi tu. Mwisho unajiuliza ni ipi ya kudumu revolutionary au evolutionary?

Nawapongeza hao uliowataja kwa mikakati yao makini.
 
Siku zote watu ukosea wanapo Hadiythia ndoto zao japo wananchi wamechoka kweli, lakini si kila mwananchi ni mpinzani hata ikitokea leo useme tukutane jangwani kwa chakula cha mchana tu kilichoandaliwa na wapinzani haitakubaliwa ni bora raia wafe kwa makusudi ya serikali kuliko kuwa hai kwa hisani ya upinzani, tawara za kiafrika mpinzani hazitaki mpinzani kutoa msaada hata wa sindano kwa mwenye kutembea mkalio nje ujaweza kujiuliza kwanini? Ukweli ni kuwa ufukara ni mara nyingi ndio lengo la kwanza kwa wanasiasa wa Africa kwa rahisi kuinunua njaa kuliko shibe hilo wamefaulu kweli.
Na unaandaliwa mpango kabambe wa kuwatembeza raia uchi Vp tutatembezwa uchi? Ni kwa kuzuia mitumba ambayo wanasema haitufai kwa matumizi lakini wakati huo wanaposema watazuia fahamu ndani ya nchi hii kuna watu siku wakifua nguo basi siku hiyo kwake ni mapumziko atatawa ndani hadi zikauke.
 
Ktk kitabu cha kuli mwandishi alihitimisha kwa neno zito lisilo na mawaa lililojaa tumaini tele nalo ni "Lakini yana mwisho"

Magufuli and his team wafanye wafanyayo ila kama Firauni alikua na mwisho basi kauli hii iwakae 'lakini yana mwisho'

Hata chadema na ukuta vina mwisho pia kamanda
 
Nafarijika kuona bado kuna watanzania wenye uelewa mkubwa sana kama wewe.
 
Lowasa nna kupenda kwakuwa katika taifa hili ni mwanasiasa uliyekomaa.Mbowe ninakupenda kwakuwa umejenga ndoto zetu, umezikuza na hakuna namna ya kukufuta kwenye siasa za Tanzania.

Leo nawaambia ya moyoni!
Kuna mahali wakuu mlikosea.
Pale kwenye uchaguzi mkuu ulioisha, pale matokeo yalipokua yanatangazwa, pale UKUTA ungeangukia kila kima.

Wakati ule nilinukuu usemi wa Julius Caesaer kuwa: There is a tide in the affairs of men if taken at floods could lead to success. Uliokuwa na maana kuwa it was then or never.

Sasa adui hata tuacha, tulikosa kumuua tukamsamehe!

Ok, sasa tumeitunza amani!

Nchi tumekosa na kila siku tunalala sero.

Mimi bado ni mpiganaji, ila makamanda mlizingua!
Mnatupa ugonjwa wa moyo maana wengine tuna damu ya upinzani.
Nikiwaona sero natamaani kufa, ila nifanyeje?
You have chosen the weakest moment to negotiate!

Tupigane ila kuna wakati tusikilizane.
I am your right hand man, I am the opposition itself.
Still I can fight, and yes I will fight!
Upigane ukiwa nyuma ya keyboard? Nyie wana UKUTA mnatuchosha na vijimipasho vyenu
 
Kuna watu wanakuwa wanatekenyeka wakiona amani inashamiri nchini. Hawa ni wakupewa pole kutoka moyoni. DJ alikuwa anatabia ya kutabiri vurugu na ukosefu wa amani, akizoea enzi zile kusema kuwa kuna siku moto utawaka. Hivi sasa ana umri wa miaka 55, na uzee ndio huo, hakuna cha kuvunjika kwa amani wala upuuzi mwingine wowote ule ambao umeshatokea tangu aanze kutabiri mabaya ya siku zijazo.
 
Tunaongelea Nchi kutumbukia kwenye udikteta wewe unaleta Unyu-mmbu wa buku saba!! Hivi unaona kusigina katiba ya nchi ni jambo la mchezo eh! Hivi wewe unaona akina Malyamungu wanavyofungia magazeti na redia ni uhai au kifo cha demokrasia ya NCHI? Kama kweli nyie vidume kwenye ulingo wa politics achaneni na kutumia polisi mruhusu haki za kikatiba za mikusanyiko. Imefikia mahali mmefikia hadi kwenda kuchungulia majumbani na mahoteli kuona watu wanafanya au kusema nini. Dictators are always weak in politics! their masters are army forces and their fathers are guns.
You are WEAK!! WEAK!! WEAK!! you are not fit to lead a country!!
Wewe hauhitaji demokrasia ndio maana haulalamiki kuwa na Mwenyekiti wa maisha CDM, haulalamiki kuhusu Uhuru wa mahakama kwa wanachama wa CDM. Wewe hauhitaji uwazi ndio maana haulalamiki kuhusu Mwenyekiti kujipa tenda za mafuso au matumizi na mapato ya chama.

Vitendo hivyo vikiwa CDM vinakuwa visafi kwa kuwa mmekuwa msiyojua kuhoji bali kuitikia wimbo wa Mwenyekiti Nkurunzinza tu. Hadi sasa dhaifu anajulikana ni nani, kwa sababu ya unafiki wenu Magu hawezi kucheka na wachawi nyie mnaoiombea nchi mabaya kila kukicha.

Kama nyie si dhaifu endeleeni na maandamano yenu yasiyo na kikomo kesho kutwa ndio utabatizwa kwa moto murua kabisa.
 
Wewe hauhitaji demokrasia ndio maana haulalamiki kuwa na Mwenyekiti wa maisha CDM, haulalamiki kuhusu Uhuru wa mahakama kwa wanachama wa CDM. Wewe hauhitaji uwazi ndio maana haulalamiki kuhusu Mwenyekiti kujipa tenda za mafuso au matumizi na mapato ya chama.

Vitendo hivyo vikiwa CDM vinakuwa visafi kwa kuwa mmekuwa manyumb.u msiyojua kuhoji bali kuitikia wimbo wa Mwenyekiti Nkurunzinza tu. Hadi sasa dhaifu anajulikana ni nani, kwa sababu ya unafiki wenu Magu hawezi kucheka na wachawi nyie mnaoiombea nchi mabaya kila kukicha.

Kama nyie si dhaifu endeleeni na maandamano yenu yasiyo na kikomo kesho kutwa ndio utabatizwa kwa moto murua kabisa.
KATAA KUWA NYUMB.U
Mchawi wewe hujioni kweli Nyani haoni kundule!! Tunaongelea Nchi wewe bado umekomaa na CDM/CCM huna hadhi ya kujibizana nami
 
Mchawi wewe hujioni kweli Nyani haoni kundule!! Tunaongelea Nchi wewe bado umekomaa na CDM/CCM huna hadhi ya kujibizana nami Ke-nge mado-a mado-a
Tulia kijana, lazima tuwape makavu ili muondoe huo unafiki wenu. Kila siku mnapayuka kuhusu demokrasia wakati huko CDM na CUF ni upuuzi tupu. Kama una hasira sana ingia barabarani tar 1 tukufundishe adabu kwa vitendo.
 
MYOPIC!!!!
Asante Bi/Bw HYPEROPIA, Maana kwa uelewa wako maendeleo yanapatikana kwa haki yako kumnyima fursa mwingine ya kufanya vitu vya maendeleo iwe yake binafsi au ya jamii kwa jumla , lakini mwisho wa yote unakaribia tarehe 1/09/16 ni kesho Kutwa , karibu.
 
Wakati wengine wanadai Tanzania hakuna demokrasia au demokrasia inahujumiwa na tunataka saana kuwa Kama Western countries bila kujali haki za wengine na maendeleo ya kiuchumi ya nchi na ya Mtu moja moja , wenzetu sasa hivi ni Kama wameua vyama vya wafanyakazi (Democracy) na haki ya kugoma, iligoma unakatwa hela yako ya siku uliogoma
Strike changes: What do they mean? - BBC News
www.bbc.co.uk › business-32870930
14 Sep 2015 - Removal of restrictions on using temporary workers to ... How muchharder does it make a strike? ... The majorpublic sector strikes on pay and pensionreform ... " Trade unions play an importantrole and deserve our respect.
Biggest crackdown on trade unions for 30 years launched by ...
www.theguardian.com › ... › Trade unions
15 Jul 2015 - ... unlawful picketing, andmake it harder for workers to strike ...biggest crackdown on trade union rights for 30 years will be ... warned the reforms would poison industrial relations in the ...
Striking workers may have to identify themselves to police, carry a ...
www.independent.co.uk › home-news
6 Sep 2015 - Plans for new legal hurdlesmaking it harder for union members to ... action are described as a 'major attack' on civil liberties in the UK ... union-workers-strike.jpg ... under proposed reforms to trade union laws that could be in ...
Workplace reforms would hit workers outside unions hardest
theconversation.com › workplace-reform...
12 Aug 2015 - Would non-union employeesbe the biggest losers from the proposals by the Productivity Commission ...
 
Asante Bi/Bw HYPEROPIA, Maana kwa uelewa wako maendeleo yanapatikana kwa haki yako kumnyima fursa mwingine ya kufanya vitu vya maendeleo iwe yake binafsi au ya jamii kwa jumla , lakini mwisho wa yote unakaribia tarehe 1/09/16 ni kesho Kutwa , karibu.
Myopic
 
Pasco, natamaani sana siku tulipe madeni tunayodaiwa na polisi na CCM.
Sasa tunyanyasike tu, ila kuna siku.

Viongozi wetu wakijua maana ya 'sine missione' na kuikubali, tutapona.
Yani 'no quota given, no mercy shown'.
Yaani, hakuna kuwapa mapumziko na hakuna kuwahurumia!
 
Back
Top Bottom