Lowassa, Mbowe: Mngetusikia na sisi!

Lowassa, Mbowe: Mngetusikia na sisi!

Lowasa nna kupenda kwakuwa katika taifa hili ni mwanasiasa uliyekomaa.Mbowe ninakupenda kwakuwa umejenga ndoto zetu, umezikuza na hakuna namna ya kukufuta kwenye siasa za Tanzania.

Leo nawaambia ya moyoni!
Kuna mahali wakuu mlikosea.
Pale kwenye uchaguzi mkuu ulioisha, pale matokeo yalipokua yanatangazwa, pale UKUTA ungeangukia kila kima.

Wakati ule nilinukuu usemi wa Julius Caesaer kuwa: There is a tide in the affairs of men if taken at floods could lead to success. Uliokuwa na maana kuwa it was then or never.

Sasa adui hata tuacha, tulikosa kumuua tukamsamehe!

Ok, sasa tumeitunza amani!

Nchi tumekosa na kila siku tunalala sero.

Mimi bado ni mpiganaji, ila makamanda mlizingua!
Mnatupa ugonjwa wa moyo maana wengine tuna damu ya upinzani.
Nikiwaona sero natamaani kufa, ila nifanyeje?
You have chosen the weakest moment to negotiate!

Tupigane ila kuna wakati tusikilizane.
I am your right hand man, I am the opposition itself.
Still I can fight, and yes I will fight!
Rubbish! Fight for what nonsense!! You still enjoy the air of the Republic and constipate the beans of Mbeya and you speak hoity toty stuff! Go to Burundi where you will be given more freedom than here as you presume!!
 
Gang, nyie nani aliwapa fursa ya kuamua sisi wengine tuishi hivi ama vile?
Tuishi kama Burundi au Rwanda?
Hii nchi inahitaji tiba ya 'acupanture'!
 
Lowasa nna kupenda kwakuwa katika taifa hili ni mwanasiasa uliyekomaa.Mbowe ninakupenda kwakuwa umejenga ndoto zetu, umezikuza na hakuna namna ya kukufuta kwenye siasa za Tanzania.

Leo nawaambia ya moyoni!
Kuna mahali wakuu mlikosea.
Pale kwenye uchaguzi mkuu ulioisha, pale matokeo yalipokua yanatangazwa, pale UKUTA ungeangukia kila kima.

Wakati ule nilinukuu usemi wa Julius Caesaer kuwa: There is a tide in the affairs of men if taken at floods could lead to success. Uliokuwa na maana kuwa it was then or never.

Sasa adui hata tuacha, tulikosa kumuua tukamsamehe!

Ok, sasa tumeitunza amani!

Nchi tumekosa na kila siku tunalala sero.

Mimi bado ni mpiganaji, ila makamanda mlizingua!
Mnatupa ugonjwa wa moyo maana wengine tuna damu ya upinzani.
Nikiwaona sero natamaani kufa, ila nifanyeje?
You have chosen the weakest moment to negotiate!

Tupigane ila kuna wakati tusikilizane.
I am your right hand man, I am the opposition itself.
Still I can fight, and yes I will fight!
wewe ndio mpiganie nini. mnataka kuongoza nchi kwa nguvu. uchaguzi mlishindwa, urais na ubunge. ila vichwamaji mnadai mlishinda urais. ushindi gani wa urais bila kuwa reflected kwenye ubunge. ubunge hata asilimia 25 hamkufika.
 
Chini ya jua hakuna Mkubwa..Mkubwa ni Mungu pekee..pole yako wewe unaemwabudu na kumpigia makofi kwa unafiki japo unajua anakunyima haki zako za msingi na zinazotambulika kikatiba. Nafikiri nitakuwa wa kwanza kupigwa risasi hiyo tarehe moja September.. Na wewe utaishi milele. Waoga kama nyinyi ndo mnazidi kuzorotesha maendeleo ktk nchi zetu masikini za kiafrika.na wazungu wataendelea kutunyonya tu.
Wallah hautajitokeza kwenda kuuawa, uiache familia yako inatapatapa. Kwa haki ipi uliyoporwa? Wadanganye wasiokufahamu. Huyo mkewako na watoto wako, unataka umwachie nani akutunzie! Yaani ufe kwa makusudi.
utani wa kawaida huo,usipotoshe watu.
Unapoandaa kitanzi cha kujinyongea,ikatokea bahati ukamsimulia mtu mwingine sababu inayopelekea utamani kujiua, aweza kustaajabu kwa kuwa sababu inayokutananisha mauti ni jambo dogo sana la "kusovu" pia ni la kijinga.
 
China walianza mabadiliko Yao ya kiuchumi kwa ku crash maandamano ya Tianmen Square na urusi walianza reform Yao na Glasnot Leo hii tunajua china ipo wapi kiuchumi na urusi ipo wapi kisiasa na kiuchumi huku Ndio kuona Mbali au kuona karibu
 
Lowasa nna kupenda kwakuwa katika taifa hili ni mwanasiasa uliyekomaa.Mbowe ninakupenda kwakuwa umejenga ndoto zetu, umezikuza na hakuna namna ya kukufuta kwenye siasa za Tanzania.

Leo nawaambia ya moyoni!
Kuna mahali wakuu mlikosea.
Pale kwenye uchaguzi mkuu ulioisha, pale matokeo yalipokua yanatangazwa, pale UKUTA ungeangukia kila kima.

Wakati ule nilinukuu usemi wa Julius Caesaer kuwa: There is a tide in the affairs of men if taken at floods could lead to success. Uliokuwa na maana kuwa it was then or never.

Sasa adui hata tuacha, tulikosa kumuua tukamsamehe!

Ok, sasa tumeitunza amani!

Nchi tumekosa na kila siku tunalala sero.

Mimi bado ni mpiganaji, ila makamanda mlizingua!
Mnatupa ugonjwa wa moyo maana wengine tuna damu ya upinzani.
Nikiwaona sero natamaani kufa, ila nifanyeje?
You have chosen the weakest moment to negotiate!

Tupigane ila kuna wakati tusikilizane.
I am your right hand man, I am the opposition itself.
Still I can fight, and yes I will fight!
Uchochezi huu, utaenda mfungo na wewe
 
LOWASA NA MAKAMANDA WENGINE WAKO MAKAO MAKUU YA CHADEMA SAHIVI...WANAYAJENGA....

OVA
 
Lowasa nna kupenda kwakuwa katika taifa hili ni mwanasiasa uliyekomaa.Mbowe ninakupenda kwakuwa umejenga ndoto zetu, umezikuza na hakuna namna ya kukufuta kwenye siasa za Tanzania.

Leo nawaambia ya moyoni!
Kuna mahali wakuu mlikosea.
Pale kwenye uchaguzi mkuu ulioisha, pale matokeo yalipokua yanatangazwa, pale UKUTA ungeangukia kila kima.

Wakati ule nilinukuu usemi wa Julius Caesaer kuwa: There is a tide in the affairs of men if taken at floods could lead to success. Uliokuwa na maana kuwa it was then or never.

Sasa adui hata tuacha, tulikosa kumuua tukamsamehe!

Ok, sasa tumeitunza amani!

Nchi tumekosa na kila siku tunalala sero.

Mimi bado ni mpiganaji, ila makamanda mlizingua!
Mnatupa ugonjwa wa moyo maana wengine tuna damu ya upinzani.
Nikiwaona sero natamaani kufa, ila nifanyeje?
You have chosen the weakest moment to negotiate!

Tupigane ila kuna wakati tusikilizane.
I am your right hand man, I am the opposition itself.
Still I can fight, and yes I will fight!
Paulo Alex nakusalimia .
 
Erythrocyte nimeitika, niko poa. Hope wewe na makamanda wote mko sawa!
 
Chonde chonde,aliyejenga msingi huyohuyo ajenge ukuta,watanzania tunamuamini aliejenga msingi,msingi imara,
 
Ktk kitabu cha kuli mwandishi alihitimisha kwa neno zito lisilo na mawaa lililojaa tumaini tele nalo ni "Lakini yana mwisho"

Magufuli and his team wafanye wafanyayo ila kama Firauni alikua na mwisho basi kauli hii iwakae 'lakini yana mwisho'
Kweli, mafisadi "yana mwisho".
 
Raia mwenye akili timamu yoyote hawezi kukubaliana na ujinga wenu, maandamano yasiyo na kikomo ni upuuzi na upotezaji wa nguvu kazi ya taifa. Subiri tar 1 utajua nani mkubwa.
Nani mkubwa ni yule anayekupa dhamana ( Wananchi ), wakiamua kufanya yao hakuna atakayesalia. Bado tunavumiliana ila hakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho.
 
MAGALEMWA, Mbwa anatakiwa apigiwe kwenye tukio.
Nje ya tukio utamhurumia na watu watamtetea.
 
Kama kuna wakati ningeandamana basi ni pale matokeo yalipotangazwa harafu lowasa sio mshindi
 
Back
Top Bottom