Lowassa, Mbowe kupewa tuzo ya Amani Afrika

Lowassa, Mbowe kupewa tuzo ya Amani Afrika

Ocampo four

JF Senior Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
5,789
Reaction score
2,159
Mgombea urais wa CHADEMA na anayeungwa mkono na umoja wa UKAWA Ndg. Edward Lowassa na Mwenyekiti wa CHADEMA Ndg. F. Mbowe wamependekezwa kupewa tuzo ya amani barani Africa kwa kukuza lugha za demokrasia badala ya chuki.

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeelezwa kupoteza mwelekeo badala ya kufumbia macho matusi, uongo, kejeli na kuchochea vurugu.
(see, attached dc).
 
Attachments

  • 1444206737572.jpg
    1444206737572.jpg
    60.1 KB · Views: 3,769
RWANDA inaongoza kwa utawala bora africa mashariki ikifuatiwa na KENYA kwa mujibu wa MO IBRAHIM INDEX....CCM wanakataa WANADHAN UTAWALA BORA ni uchaguzi kumbe muhimu ni viongozi wa kada zote kuheshimu sheria bila kujali nafasi zao.
 
Wamependekezwa kupewa tuzo au watapewa tuzo? Pia wameishia kutaja jopo la watafiti sabini duniani, hawajasema kutoka wapi, chini ya mwamvuli gani na mengineyo!

NB: Gazeti la Tanzania Daima lisajiliwe kama gazeti la chama cha siasa kama yalivyo uhuru na mzalendo
 
Waheshimiwa hawa ni mfano wa kuigwa! Hasa EL ameonyesha kukomaa na ndiyo maana bado ni asset! Upande wa pili nafikiri pipili haitoki kooni!
 
Wamependekezwa kupewa tuzo au watapewa tuzo? Pia wameishia kutaja jopo la watafiti sabini duniani, hawajasema kutoka wapi, chini ya mwamvuli gani na mengineyo!

NB: Gazeti la Tanzania Daima lisajiliwe kama gazeti la chama cha siasa kama yalivyo uhuru na mzalendo

Mara nyingi ukipendekezwa huwa unapewa. Labda itokee ukafanya madudu kabla ya siku ya kupewa. Au ukawa na mpinzani mwingine ndani ya nchi yako. Sasa hawa wawili hawana wapinzani, kwa hiyo tuzo wanaweza wakazipata.
 
Siasa za mwaka huu hasa upande wa upinzani zinaendeshwa kistarabu sana kuliko miaka yote

Matusi na vitisho vinatoka CCM maajabu haya
 
Ccm wana midomo michafu sana safari kwa vile wanajua mwisho wao umewadia. Wanaochochea machafuko ni team ya kampeni ya magufuli kwa maneno yao ya kejeli na matusi, ukiwasikiliza hasira napanda sana hasa pale dola na tume ya uchaguzi inapoyanyamazia.
 
wanadabu madhalim hukufunua hadharani uaibike lakini mungu hukuinua juu ya mataifa ukaonekana...VIVA LOWASA VIVA UKAWA VIVA CHADEMA
 
Hatimaye bulembo , mwigulu na lusinde waiponza ccm kama ilivyotabiriwa .
 
Siasa za mwaka huu hasa upande wa upinzani zinaendeshwa kistarabu sana kuliko miaka yote

Matusi na vitisho vinatoka CCM maajabu haya

Ukiichunguza timu ya kampeni ya ccm utaelewa kwanini haya yanatokea .
 
Back
Top Bottom