Lowassa, Mbowe kupewa tuzo ya Amani Afrika

Lowassa, Mbowe kupewa tuzo ya Amani Afrika

Wapewe tu jamani,wafalme wa siasa za Tanzania hao.
 
Zingekuwepo awards za kutukana nafikiri Nape angepewa tuzo la juu.................!!!!
 
Mbowe shikamoo kwake, lowasa hongera kwa kuwa mvumilivu. Mbowe kiukweli ni freeman
 
Toeni umangi wenu humu. Tuzo itolewe Moshi? Ulitegemewa apewe nani kama sio hao. Hizo ni kiki za mwisho kumpa Lowassa kabla haparuliwa vibaya na msukuma nyie toeni tuzo hadi tozo mjue Kaskazini ishatekwa zamaaani
 
Mara nyingi ukipendekezwa huwa unapewa. Labda itokee ukafanya madudu kabla ya siku ya kupewa. Au ukawa na mpinzani mwingine ndani ya nchi yako. Sasa hawa wawili hawana wapinzani, kwa hiyo tuzo wanaweza wakazipata.

Wanastahili kabisa. Wakati wote wamekuwa ni wastaarabu
 
Watapewa na Waasi wa Seleka na Anti Balaka..wa CAR..religious politics of lutheran and regionalism is a deadly poisonous.
 
UJINGA MTUPU[

QUOTE=Ocampo four;14246387]Mgombea urais wa CHADEMA na anayeungwa mkono na umoja wa UKAWA Ndg. Edward Lowassa na Mwenyekiti wa CHADEMA Ndg. F. Mbowe wamependekezwa kupewa tuzo ya amani barani Africa kwa kukuza lugha za demokrasia badala ya chuki.

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeelezwa kupoteza mwelekeo badala ya kufumbia macho matusi, uongo, kejeli na kuchochea vurugu.
(see, attached dc).[/QUOTE]
 
Toeni umangi wenu humu. Tuzo itolewe Moshi? Ulitegemewa apewe nani kama sio hao. Hizo ni kiki za mwisho kumpa Lowassa kabla haparuliwa vibaya na msukuma nyie toeni tuzo hadi tozo mjue Kaskazini ishatekwa zamaaani

Aisee!
 
Wakat ukawa wanazindua kampeni waliubiri amani na kampeni za ustaharabu na ccm mkapa alizindua kwa matusi atamaliza na chama chake kwa matusi
 
Back
Top Bottom