Lowassa Mbona Hatuoni Umaarufu Wake

Lowassa Mbona Hatuoni Umaarufu Wake

Leo ni siku ya pili tangu ' waziri mkuu aliyejiuzulu' kujiunga na chama cha kupokea mafisadi. Nilitegemea kwa huo umaarufu wa social media 'vigogo' kibao wangejiunga naye. Ila wapi..... Porojooo tupu. Umaarufu wa kwenye jamii forum. Lowassa is hopeless. Kwanza hana afya ya kufikiri. He is slow in body and mind. Lakini hii ni season ya excitement. Atleast tutaanza kununua magazeti. Lowassa has brought the stimulus but will never win.

Utauona kwenye ballot box october 25,215.
 
Back
Top Bottom