Lowassa, mazoezi ya picha ya nini na unamuonesha nani?

Hongera sana mwandishi wa Mwananchi kwa kutufafanulia kuhusu picha ile. Mimi sikuelewa logic ya kuitoa! Mwakani CCM isifanye kosa, E.N.Lowassa HAFAI!
 
Mkuu, kule tunashirikiana ila kwa hapa hatupo pamoja. Samahani lakini

naona wana-CCM mnaanza kutwangana wao kwa wao...mmekatika 50/50.

this is exactly what will happen to CCM itakapofika 2015 endapo mtamwengua kwenye kinyang'anyiro cha kwenda Magogoni.

it signals the end of corruption, embezzlement, nepotism and country mismanagement (aka CCM) by October 2015 when there'll be new occupant (opposition) in the Magogoni house.
 
Na itakua vyema km cku moja utatuletea picha za huyo baba yenu aliyewatuma ujeruman alivyokua anamkatikia kiuno kitandani mwimbaji mmoja wa nyimbo za injili
 
Hiyo role ya Abubakar Liongo nikadhan ni ya Pasco wetu huyu wa JF
 
Last edited by a moderator:
Walio werevu wengi wamechangia kwa kutoa sababu kuntu ambazo mleta hoja kapungukiwa nazo ama kwa kujitoa ufahamu au kwa kuamua kutumika bila kujali utu wake.

Tunawapa watanzania wengi benefit offl doubt hasa kwa kuzingatia nguvu kubwa tunazotumia dhidi ya Lowassa hasa kwa kumchafua pasipo sababu yeyote ya msingi. Watu wazima, wasomi na werevu lazma wajiulize why all this??

Hivi kweli leo mazoezi ya huyu bwana yamekuwa nongwa mpaka kuandikwa andiko ndeeeeeeeeefu namna hii... Nshawahi kumwaona Mama Tibaijuka, Malecela na viongozi wengine magazetini na michuzi wakiwa wanafanya zoezi kwa namna hiyo hiyo ya Edward leo mbona yeye imekuwa tatizo??

Na hivi kweli haya mazoezi kaanza leo?? Na la pili hata gazeti la Mtanzania nalo katika ukurasa wake wa ndani walimwonesha wao nao pia walihongwa?? (Ama ndo italetwa hoja mpya kwamba Mtanzania ni wale wale).....

Allitwa fisadi kwa muda mrefu kakaa kimya watu wakaelewa kwamba lilikuwa zengwe, ikaja hoja ya utajiri na harambee yeye kaendelea kukaa kimya, na watu wanazidi kuelewa sasa limeibuka la Afya yake haya kaonekana akikimbia limejengewa hoja tena...... Hivi kweli tunaweza kuwadanganya Watanzania wote kwa namna tunayotaka sisi.....

Wakati mwingine mpaka nashtuka mtu kama Antony Diallo mwenyekiti wa CCM na mjumbe wa Halmashauri Kuu eti naye anaandika upuuzi wa kumchafua kiongozi mwenzie hivi maadili ya Chama hiki yako wapi?? Hivi hii ni chuki ya namna gani kwa wanaCCM na ni picha gani watu wazima wa rika la kina Diallo wanawaonesha Watanzania?? Hivi yeye Diallo ana usafi gani hata kumnyooshea Edward kidole??

Diallo umesahau una tuhhma za mauaji Vijana wamekuwa wakikuuliza juu ya Green Guard wao umekosa majibu, unaulizwa kuhusu mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM mwanza bado huna majibu, unalizwa kuhusu namna ulivyoifilisi NBC huna majibu Antony unaulizwa kuhusu wake za watu na vijischana tena barmades na ulivyowazalisha huna majibu boss, Antony people are doubting about your Phd but still you pretend as if your deaf or a dumb....... Antony please respect others and your dignity will be protected we know you Tony we know you brother dont allow us to go further please dont.........

Wanasema ukitazama utaona Landcruiser ni kweli naiona hata kwenye misafara ya Rais huwa kunakuwa na Ambulace. Huyu bado ni Mstaafu wa Serikali tena kwa ngazi kubwa ulinzi uko pale pale na gari hilo ni sehemu ya ulinzi vile vile. Au mwandishi kuna namna hilo gari linawazui kutimiza mikakati yenu yeyote?? Stop this gutter politics......

Ifikie mahali watu wajue Watanzania wameshewaelewa Wapotoshaji na maandishi ya namna hii hayawezi wabadilisha lakini kubwa kama huyu Bwana anakunyimeni usingi tafuteni namna nyingine ya kudeal naye manake hivi muendavyo mmeshashtukiwa mmeendelea kumchafua mpama mnaishia kumsafisha sasa.......

Binafsi naamini kwa habari kama hii Gazeti la Mwananchi kutokana na umakini wao basi hawatokaa kimya hasa kutokana na maneno yaliyotumika kuonekana kutaka kulichafua gazeti ili kuaminisha jamii kuwa wanapokea rushwa...... Edward kaandikwa sana magazetini hivi leo kweli akatoe 10M ili picha yake itolewe (what a shame).

Mmemshindwa basi kajisalimisheni kwake........
 
Mkuu, hakika Lowasa anafanya mchezo wa kuigiza kabisa. Kumbe hili lilikuwa ni tukio lililopangwa na kugharimu kiasi kikubwa cha fedha! Yaani kupigwa tu picha zimemtoka milioni kumi? Hakika huyu mzee ufisadi unampeleka pabaya

we soma habari uelewe acha kujitia aibu!!
 
Hongera sana mwandishi wa Mwananchi kwa kutufafanulia kuhusu picha ile. Mimi sikuelewa logic ya kuitoa! Mwakani CCM isifanye kosa, E.N.Lowassa HAFAI!

Usiwe kama zuzu ww una uhakika gani huyo ni mwandishi wa mwananchi?
 
Mi napata shaka kidogoo,ingekuwa busara kama ungeweka hii nywira na picha ili tikajiridhisha maana imekuwa ni kawaida kwa baadhi yenu kutumiwa katka siasa,so will you post the picture for verification and as a supporting evidence of your claim
 
Picha #1 :
3_zps5db83b25.jpg


Picha #2 :
lowasa_zps58e33af7.jpg


Picha #3 :
2_zps2de1077d.jpg
attachment.php
 
Mkuu, kule tunashirikiana ila kwa hapa hatupo pamoja. Samahani lakini

naona wana-CCM mnaanza kutwangana wao kwa wao...mmekatika 50/50.

this is exactly what will happen to CCM itakapofika 2015 endapo mtamwengua EL kwenye kinyang'anyiro cha kwenda Magogoni.

it signals the end of corruption, embezzlement, nepotism and country mismanagement (aka CCM) by October 2015 when there'll be a new occupant (opposition) in the Magogoni house.
 
mtoa mada umeanza vizuri lakini nina wacwac na taaluma yako maana kama mfanyakazi unatakiwa uwe na integrity, kama jambo limejadiliwa ofcn huna sababu yakuleta humu jamvini kwa namna hiyo yakuhusisha ufanyaji kazi wako ofcn..acha ukanjanja.
 


Nyie watu muogopeni Mungu haya mambo ya uzushi yatawasababishia muchomwe bure, hizi picha zote nne hazijapigwa sehemu moja, angalia ukuta wa picha ya kwanza ni tofauti na ukuta wa pili pia ni tofauti na picha ya tatu aidha picha ya nne mandhar yake hayafanani na picha yoyote za mwanzo.
 
Ni uzushi waajabu mwandishi wa habari hii anasema yeye ni mwandishi wa gazeti la mwananchi anaendelea kusema kwamba kulikuwa na kikao kizito kujadili kuhusu picha ya mhe.lowassa akiwa anafanya mazoezi hivi huyu mtoa habari ni msemaji wa gazeti la mwananchi?pia habari na picha yoyote kabla haijamliwa kutolewa upitiwa na mharili Mkuu wa gazeti usika kuridhia kutoa au hapana.sasa ni wewe ni mwandishi wa habari na si mhariri na wala una mamlaka ya kukaa kikao kizito kujadili swala lolote lile kazi kubwa we kama kweli ni mwandishi nikutafuta habari na kupeleka pale kisha upitiwa na wahariri,gazeti la mwananchi ni gazeti makini na kunawhariri makini sana.Pia si Leo tu lowassa ufanya mazoezi laini ya mwili si ata akiwa nyumbani kwake masaki ama monduli.Wahariri wa gazeti la mwananchi walitambua umhimu wa kutoa hile picha kuziba midomo na Maneno yenu nyie wanafiki na uzushi kwamba hali ya afya mhe.lowassa ni mbovu hili msibitishe yuko fit I kuwatumikia watanzania.hivi utambui lowassa alikuwa Waziri Mkuu na anadhi mpaka kesho kulindwa na shangaa kusema eti gari iko nyuma inamfuata.we kama umetumwa wambie bado na tuko fiti sana na mapambano yanaendelea.
 
Mkuu Bramo, asante kwa kunidhania ni mimi!, mimi niliacha rasmi kutumwa tangu 2002!.

Thanks.

Pasco
Hata kama uliacha kutumwa, na kama unachofanya as far as Lowassa is concerned 'unajituma' mwenyewe, basi hauko sawa sawa upstairs!
 
Back
Top Bottom