Lowassa: Masikini hafai kuingia Ikulu!


Hivi Richmond imesaidi kupunguza au kuongeza umasikini?

Angekuwa kweli anachukia umasikini wa mtanzania angejiuzulu mapema kupinga dhuluma hiyo na si kusubiri shinikizo la Bunge.
 

Abraham Lincoln once said this" You cannot help the poor by destroying the Rich" end of quote.

It's high time Tanzanians should wake up and stop this inferiority complex fever of thinking being poor is a credibility.
 
Kwahiyo hili jizi limetuibia miaka nendarudi, likajitajirisha kwa kutukandamiza wanyonge, then linakuja na kejeli kwamba SISI NI MASIKINI HATUFAI KWENDA IKULU!!!???
 
Hili lijamaa nadhani limeanza kutokwa na akili, sijui ana maana gani kusema kua maskini akingia ikulu hana jipya wakati baba wa taifa aliingia ikulu akiwa maskin na uongozi wake umetukuka mpaka leo.
 
Hivi Richmond imesaidi kupunguza au kuongeza umasikini?

Angekuwa kweli anachukia umasikini wa mtanzania angejiuzulu mapema kupinga dhuluma hiyo na si kusubiri shinikizo la Bunge.

Nani kakuambia Richmond ni scandal. ? Kama Richmond ilikua haipo kama tume ya Mwakyembe inavyosema,mbona Hillary Clinton na Obama wote walikuja kuifungua?

Watanzania tuamke!! Richmond is Dowans na Dowans is Symbion na bado inazalisha umeme Ubungo.

Kama yeye kausika kwanini wasimpeleke mahakamani? Mbona Mramba, Mgonja na Yona wote wameburuzwa?

Think brother wake up!!
 
Mwogopeni maskini kwenda Ikulu kama ukoma!! atanyonya kama kupe!! twendeni na tajiri ilituutokomeze umaskini!!!
 

Hii ni upindishwaji, Richmond na Dowans walikuwa middle men. Baada ya hao middlement kufukuzwa ndo Symbion kaingia. Symbion ndo ilitakiwa kuwa imeshinda tenda in the first place. Hao matapeli wametugharim sana kwani symbion wangekuja day 1 wangezalisha umeme. Hujui kuwa kosa la Richmond ilikuwa kuchukua fedha halafu hawazalishi umeme sababu walikuwa ni middle men tu??
 
According to karl marx " if there is accumulation of wealth in one people,there is accumulation of poverty in other people
 
lowasa namkubali.maana ameona waliopita wote njaa.yeye anamiliki utajiri toka babu wa babu yake........
 
Isiwe shida basi sisi tunataka 'masikini' mwenzetu, mwenye kujua njaa yetu na shida zetu..yeye asiye na 'njaa' akae pembeni.
 
lowasa namkubali.maana ameona waliopita wote njaa.yeye anamiliki utajiri toka babu wa babu yake........

Endelea kumkubali. Kama anafuja "utajiri wake" kwa kuhonga unategemea akipewa nchi(mali ya umma) unategemea atabakiza kitu?
 
lowasandiye aliyetuleteana kushinikiza kampuni feki ya Richmond ambayo haikuwa nauwezo kifedha,kitechnojia wala uzoefu wala mtaji wala haikua na ofisi.Alilazimisha kuwapazabuni. Kwa mujibu wake na nyie wahuni wenzake hayo yalikuwamaamuzimagumu....ALILAZIMISHA TZ KUINGIA KWENYE MKATABA WAKIHUNI KWA MASLAHIYAKE yeye lowasa na mapacha wake wawili.
KIFUPI lowasa ANA UJASIRI WA KIFISADI. Wewe huwezi jua kwa nnaliufyatakuzungumzia hili sakata wakati aliahidi.YEYE MWENYEWE HAWEZI KULIKANANA HAWEZIKUJISAFISHA SASA WW ULIYEPEWA MGAO WA UFISADI WAKE UNATAKA KUMSAFISHA


 
Mamvi ndio kaishiwa kabisa sera, rudi home jipange kiswahili kizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…