Ebu tumuingize ikulu tuone kama ni kweli.
kwa mtazamo wangu tanzania inamhitaji lowassa ktk kila njanja inayojieleza na penye uhitaji wa kufikia uchumi unaotarajiwa
Hii kauli kakurupuka vibaya mno na huyu ana kila dalili ya kuja kulewa madaraka na kutukana au kukejeli watu.Kama ameanza kutunyanyapaa masikini kabla hajaingia hata Ikulu siku akibahatika kuingia Ikulu kuna hatari ya kuja kuagiza maloli ya zunguke mtaa kwa mtaa kutusomba masikini na kutumwaga baharini tukiwa hai kama Idd Amin alivyowafanya waganda ili Tanzania nzima imilikiwe na matajiri kama atakavyo ifanya Ikulu kuwa ya matajiri.
akawasaidie monduli
Msitufanye kama nyerere, alituacha tukiwa masikini wa kutupwa, tunajipanga kupata kilo moja ya sukari na kipande cha sabuni, lowasa kasema jembe la mkono atalipeleka kwenye makumbusho limeshakuwa zana za kale, tumtaka huyo huyo. Kwa sasa huwezi hata kukadiria umri wa kijana wote wazee kwa jembe la mkono.
Very good. Abraham Lincoln once said' YOU CANNOT HELP THE POOR BY DESTROYING THE RICH'.
Huwezi saidia maskini kama wewe mwenyewe ni Maskini.
Vivaa Lowassa yuko sahii
Masikini na matajiri wote wameumbwa na Mungu na aliye mfanya huyu akawa tajiri na huyu akawa masikini ni Mungu.
Inakuwaje Lowassa anaejifanya kuwa ni mcha Mungu ashindwe kujua kuwa masikini ni wa Mungu kama tajiri alivyo wa Mungu,mpaka afikie kiasi cha kumuona masikini kuwa hatakiwi Ikulu isipo kuwa mwenye haki ya kuingia Ikulu ni tajiri?.
Kwa maneno kama haya,Lowassa ana weza akasema kuwa ana wapenda masikini?na ana weza akasema kuwa yuko pamoja na masikini? na wale watu waliokuwa wanapanga misululu na misululu kwenda nyumbani kwake wakidai kuwa wanakwenda kumshawishi ili agombee urais na wale ambao wanaendelea kujazana kwenye misafara yake ya kutafuta wadhamini ambao wengi wao ni waendesha bodaboda ambao ni masikini ana waweka katika kundi gani?.
Siyo kama ana waona ni watu wanao sumbuliwa na njaa wanaojipendekeza kwake ili waweze kushiba kwa kuwa yeye ni tajiri?na atakapo bahatika kwenda Ikulu masikini wote wa Tanzania si watakuwa kinyaa kwake?.
akisoma hii ninao uhakika kwamba atapepesuka na kuanguka , lowasa kitu ambacho hakijui kilivyo ni ufisadi , yeye anadhani hela za nchi hii zimetengenezwa kwa ajili yake tu !Atuambie atapambanaje na umaskini bila kupiga vita ufisadi ambao hataki kuuongelea kabisa.
lowasa kuwa rais wa nchi hii ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano !Hii kauli kakurupuka vibaya mno na huyu ana kila dalili ya kuja kulewa madaraka na kutukana au kukejeli watu.
Huyu ndie rais tunaye mtaka rais njaa titaishishia kuwa na njaa viva lowasa
Kama ameanza kutunyanyapaa masikini kabla hajaingia hata Ikulu siku akibahatika kuingia Ikulu kuna hatari ya kuja kuagiza maloli ya zunguke mtaa kwa mtaa kutusomba masikini na kutumwaga baharini tukiwa hai kama Idd Amin alivyowafanya waganda ili Tanzania nzima imilikiwe na matajiri kama atakavyo ifanya Ikulu kuwa ya matajiri.
Huyu jamaa hajui nini cha kuongea na aongee wakati na katika mazingira gani.Hii kauli ni ya kushangaza sana na inatosha kumuondolea sifa ya kuwa kiongozi.
Najiuliza Nyerere angekuwa hai leo hii angesema nini juu ya kauli hii?
anaingia mtu mweny experienceMwongo sana yeye amekuwa serikalini Na maraisi wote 4 kwanini hakutoa hayo mawazo ya Kuondoa umasikini au alikuwa anatuibia ? Hafai anachukia yeye kuwa umasikini sio sisi kuwa masikini