umemaliza tafakari sana ninani aliyewafanya watanzania wakawa watu waliokata tamaaa kama siyo hao unaowaona wana sera navision za kuendelea kuwa wafanya watanzania watumwa wao na kuzidi kuwafanya maskini kuwa maskini na matajiri kuwa matajiri, pili naomba nikukumbushe wewe msaka tonge, mwaka 1995 mazingira yalikuwa tofauti sana na 2015, ninani asiyejua kuwa ule ulikuwa usanii wa CCM kuaminisha wafadhili kwamba nchi hii ni ya kidemokrasia inayo fuata mfumo wa vya vingi,walichokifanya nikumtengeneza Mrema basi ikawa watanzania hawashiki wakaamini kweli Mrema atakuwa rais katika hali hii ya usanii ikamtisha Mwl.Nyerere ikabidi angie ulingoni kupigia debe na isingekuwa yeye hali ilikuwa tete wakayaona matokeao ya usanii wao wakahujumu uchaguzi wa wabunge Dar es Salaam na ukarudiwa tena na kumuacha Lwamai kuchukua jimbo la ubungo, vinginevyo Majimbo yote yaliku yamebebwa na NCCR. Ukilinganisha na sasa Lowassa alishakuwa na nia ya nafasi hiyo miaka kumi iliyopita, na ameingia upinzani siyo kwa bahati mbaya ni mpango wa Mungu akimtumia J.K, pia wakati umefika wa kuvisambaratisha vyama vilivyo leta ukombozi kwani vimegeuka na kuwa wakoloni mambo leo na kuacha ilemisingi yake ya kupigania wanyonge chenyewe ndo kimekuwa chama cha matajiri wazee wakupiga dili, kwangu mimi nasema niafadhali tumchague Lowassa na UKAWA yake hatakama tutapata shida ndani ya miaka mitano basi tutabadilisha kuliko kuwa na chama kisicho wajali wananchi,kilicholewa madaraka, chama kinachojiona kina haki ya ownership ya nchi, nazsema inatosha sisi wananchi ndiyo tunao wajiri kwa maana hiyo utumishi wa CCM tunaukomesha tarehe 25/08/2015 tunawastafisha kwa lazima wakafanye mengine huko waliko KANU.