Makala za Lemutuz zisiwe zinaletwa hapa,unless akileta mwenyewe,huyu mtu Hana msimamo,anafuata upepo,kabla alionyesha Mapenzi kwa Lowasa,pili aliniambia amefanya research kuwa Magufuli hafai kuchukua hata form ya kugombea URais kwa kulitia hasara Taifa ktk Barabara ya Mbagala! sasa hivi anajifanya analyst wa Kumkataaa EL,kisa yupo UKAWA.