Lowassa kwa maono ya Le Mutuz!!!

Lowassa kwa maono ya Le Mutuz!!!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,408
Reaction score
14,115
Aug 17, 2015
Wingi wa Swala Haukimbizi Simba Porini....Wewe Kijana Unayemkimbilia Kumfuata LOWASSA Ukawa Unajua Unajifungia Opportunities Mwenyewe?

" WINGI WA SWALA HAUMKIMBIZI SIMBA PORINI". TUKUTANE TAREHE 26/10/2015......
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI:- Now FACT is Picha ya kushoto ni CCM na Kulia ni Muungano wa vyama Vingi vya UKAWA against Chama Kimoja tu CCM..the FACT is Lowasa ndani ya CCM alipata wadhamini 800,700 lakini toka aingie UKAWA waliotoka kumfuata hawazidi 2,000...another FACT ni kwamba Lowasa alisindikizwa na Wenyeviti wa CCM Mikoa 15 kwenye kurudisha Fomu yake ya CCM mpaka leo waliomfuata UKAWA hawazidi 4.

Another FACT Meneja Mkuu wa kampeni za Lowasa CCM alikuwa Bashe mpaka leo amegoma kabisa kumfuata Boss wake UKAWA... another FACT Wabunge 150 wa CCM walikuwa wanamuunga mkono Lowasa akiwa CCM mpaka leo hakuna Mbunge aliyeshinda Kura za maoni CCM aliyemfuata Lowasa amefuatwa na wasiozidi 10 na wote wameshindwa kura za Maoni kwanza ndio wamemfuata hahahahaha...another FACT ni kwamba Dr. Nchimbi, Sophia Simba na Adam Kimbisa waliomtetea sana Lowasa Kamati Kuu kwenye mchujo wa Urais wameapa kwamba hawatakuja kumfuata Lowasa huko UKAWA....INFACT the FACT is jana Dr. Nchimbi kwenye kikao cha Baraza Kuu la UVCCM alisema "Watuwazima mkisha kaa kwenye kikao na kukubaliana kama tulivyofanya Dodoma kwenye kuchagua mgombea, halafu wewe ukatoka hapo ukaenda kinyume na makubaliano hufai kuwa Kiongozi wa Taifa ni Msaliti".

FACT Lowasa amejitoa CCM kwa sababu at his age and time hakuwa na alternative ya kusubiri Miaka 5 ya uchaguzi tena NOW WEWE KIJANA UNAYEMKIMBILIA KUMFUATA LOWASA UKAWA unajua unajifungia opportunities mwenyewe cause unachokifanya ni "Point of no return" I mean yaani unaaamini Bashe Manager wa Lowasa hana akili wewe unazo zaidi? THINK.ABOUT IT TAFAKARI KABLA HUJARUKIA TRENI KWA MBELE! jamani I was just thinking aloud! Hahaha kama una tatizo jibu na FACTS PLEASE! ONLY FACTS HERE BABY!....WINGI WA MBUZI HAUMKIMBIZI SIMBA U KNOW - le Mutuz

Le Mutuz.
Una mkoma nyani kwa giledi
 
FACTS PLEASE! ONLY FACTS HERE BABY!....WINGI WA MBUZI HAUMKIMBIZI SIMBA U KNOW - le Mutuz
 
Another fact is more CCM members are continuing to leave CCM and join opposition parties.
 
Another ---- from a schizophrenic case complicated with panic disorder. This big for nothing hopeless fellow needs a high dose of largastil to suspend his hallucination & moonshine dreams.
 
Another ---- from a schizophrenic case complicated with panic disorder. This big for nothing hopeless fellow needs a high dose of largastil to suspend his hallucination & moonshine dreams.
Umebugi meen.... Sema fact ueleweke!
 
hilo ni kubwa jinga,aliwezi fikiria kwamba lazima watu wawe na mipango,ccm ipigwe nje na ndani,na alijui sio wote wanayo fursa ya kutangaza natoka ccm na mfuata lowassa aka wahesabu,fact women lie men lie numbers dont...kila sehemu ni lowassaaaaaaaa.
 
Umebugi meen.... Sema fact ueleweke!

What fact??? Bashe habebi mtazamo wa vijana wote tz. Kwa hiyo kuwepo kwake au kutokuwepo kwake sio tija. Hivi km Lowassa ni moto wa mabua au oil chafu au swala mbona mnajishebedua shebedua kwake. Endeleani na kampeni zenu objectively not subjectively. Hivi hamjishtukii kama mnapoteZa muda na nguvu kujipanga. Yaani kuanzia mkuu wa mipasho, fitina na husuda mpaka na familia yake Lowassa amekuwa shiiiiiiidaaa. Jipangeni, na jiandae kuzomewa na kushughulikiwa wewe na kundi lako la wala rushwa na wezi wa rasilimali za nchi kuanzia tar 1-11-2015.
 
Le mutuz fanya mazoezi bila hivyo mbebs wa Kenya atakukimbia=haya mambo ya siasa achana nayo angaika na afya yako
 
We ni ajabu sana inatakiwa ukakae makumbusho ya taifa wazungu waje wakupige picha na kukutazama taifa lipate kipato, sio lazima wamfuate ndio kumuunga mkono, watampigia kura wakiwa hukohuko ccm, usifikirie watamwacha :what:
 
Back
Top Bottom