Elections 2015 Lowassa kuzungumza na wanahabari baada ya kumaliza kikao kizito na familia pamoja na marafiki zake

Kwani akisubiri miaka mingine kumi atakuwa na umri gani?
Pia nahitaji kujua Mzee na Kingunge anajisikiaje baada ya kilichotokea jana?
 
Namshauri mzee lowasa akitaka kuhamia chama kingine awe muwazi aseme ukweli wake kutoka moyoni jinsi rich mond ilivyokuwa hajachelewa sana pamoja na kuwa wengi watahoji alikuwa wapi siku zote kusema ukweli .hii itamsadia na kumweka huru .
 
YAJUE MAJIJI 10 MASAFI BARANI AFRIKA MWAKA 2015 HAYA HAPA[h=2]HAYA NI MOJA YA MAJIJI AMBAYO YAMESHINDWANISHWA NA TAASISI YA[/h][h=2][/h][h=2]AFRICAN RANKING[/h]
www.african ranking .com​
[h=2][/h][h=2]EMBU TAZAMA DAR ES SALAM TUPO NAMBA NGAPI KWA AFRIKA[/h][h=2][/h][h=2]WAKATI SISI WATANZANIA HATUONI KILE KINACHOFANYIKA NA MAAFISA AFYA[/h][h=2][/h][h=2]WA DAR ES SALAA WAPO WATU KUTOKA NJE YA MIPAKA YA TANZANIA WANAONA[/h][h=2][/h][h=2]KILE KINACHOFANYIKA NA KUKITAMBUA KUWA KINA MAANA KUBWA SANA[/h][h=2][/h][h=2]HONGERENI SANA MAAFISA AFYA WA DAR ES SALAAM NA TANZANIA NZIMA[/h][h=2]ORODHA NI KAMA IFUATAVYO:[/h][h=2][/h][h=2]10) WINDHOEK - NAMIBIA[/h][h=2][/h][h=2]9) DAR ES SALAAM -TANZANIA[/h][h=2][/h][h=2]8)LIBREVILLE- GABON[/h][h=2][/h][h=2]7)ACCRA - GHANA[/h][h=2][/h][h=2]6) TUNIS - TUNISIA[/h][h=2][/h][h=2]5)GABORONE - BOTSWANA[/h][h=2][/h][h=2]4)NAIROBI - KENYA[/h][h=2][/h][h=2]3) JOHANNESBURG - SOUTH AFRICA[/h][h=2][/h][h=2]2)POR LOUIS - MAURITIUS[/h][h=2][/h][h=2]1) CAPE TOWN - SOUTH AFRICA[/h]
 
Ni uongo, nimekaa kigali city hatuwezi kuwapita nimekaa 1year. Nimerudi mwezi wa tano. Kadanganye wengine
 
YAJUE MAJIJI 10 MASAFI BARANI AFRIKA MWAKA 2015 HAYA HAPA[h=2]HAYA NI MOJA YA MAJIJI AMBAYO YAMESHINDWANISHWA NA TAASISI YA[/h][h=2][/h][h=2]AFRICAN RANKING[/h]
www.african ranking .com​
[h=2][/h][h=2]EMBU TAZAMA DAR ES SALAM TUPO NAMBA NGAPI KWA AFRIKA[/h][h=2][/h][h=2]WAKATI SISI WATANZANIA HATUONI KILE KINACHOFANYIKA NA MAAFISA AFYA[/h][h=2][/h][h=2]WA DAR ES SALAA WAPO WATU KUTOKA NJE YA MIPAKA YA TANZANIA WANAONA[/h][h=2][/h][h=2]KILE KINACHOFANYIKA NA KUKITAMBUA KUWA KINA MAANA KUBWA SANA[/h][h=2][/h][h=2]HONGERENI SANA MAAFISA AFYA WA DAR ES SALAAM NA TANZANIA NZIMA[/h][h=2]ORODHA NI KAMA IFUATAVYO:[/h][h=2][/h][h=2]10) WINDHOEK - NAMIBIA[/h][h=2][/h][h=2]9) DAR ES SALAAM -TANZANIA[/h][h=2][/h][h=2]8)LIBREVILLE- GABON[/h][h=2][/h][h=2]7)ACCRA - GHANA[/h][h=2][/h][h=2]6) TUNIS - TUNISIA[/h][h=2][/h][h=2]5)GABORONE - BOTSWANA[/h][h=2][/h][h=2]4)NAIROBI - KENYA[/h][h=2][/h][h=2]3) JOHANNESBURG - SOUTH AFRICA[/h][h=2][/h][h=2]2)POR LOUIS - MAURITIUS[/h][h=2][/h][h=2]1) CAPE TOWN - SOUTH AFRICA[/h]

This is pure spinning
 
Hakuna mahala salama kama ccm, uwe kiongozi ama cyo kiongozi , lowassa kama kweli ana mawazo hayo huo ni uamuzi wake na familia yake lkn anachokitafuta c maslahi ya watanzania bali ni maslahi watu fulani, hatapata na safari ya kumpoteza ki siasa imeshaanza
 
Lowasa anatalajia kumwaga mambo hadharan juu ya richimond ilikujisafisha baada ya hapo anajiunga na chadema. Hili no sharti alilopewa na chadema,kwamba kama anatata apate nafasi ndani ya chadema sharti awaeleze kinagaubaga wanachadema na RAIA kwa ujumla juu ya richimond ilivyokuwa,nayeye amekubali. Tutegemee mtikisiko mkubwa ndani ya saa48 kutoka sasa!
Source, Mimi mwenyewe ndani ya kambi ya edo
 
He had that chance and he lost it, what good would it do him now!?
 
Nakubali kuwa aweza kutema cheche zake popote na kwa yeyote , nchi hii ni ya kidemokrasia, lakini hilo la kwamba ati anaenda Chadema, si kweli wala si lolote. Hahitajiki Chadema, wala karibu na UKAWA. Hatuuhitaji uozo wenu ili tushinde. Kama anajiunga kama mtu mwingine sawa, hatumnyimi kwani sote tumetokea ccm kuja huku. Ila kama anakuja kuomba uongozi, hapa sipo. Tulishawaona wengine waliokuja dakika za majeruhi wakaja kukisumbua chama. Mbona walitangaziwa mapema saana tu kuwa njooni kabla dirisha dogo halijafungwa? Sasa limefungwa
 
Atuletee na Daud Balali kama alivyo ahidi hapo kabla.....tunasubiri
 
Back
Top Bottom