UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,693
- 12,326
usilete utani kamanda. hivi hujawahi ona watu wenye ushawishi hasa wa kununua watu kwa mapesa yao? ?? ni kweliiii? unadhani asingetumia ushawishi wa pesa leo hii ungekuwa ukimsikia? ?? wapiiiii! ! angeshajikatia zake tamaa sahiz angekuwa monduli anachunga ngombe
Kamanda kama wewe hilo ndio umejifunza kwa lowasa sawa,mimi nimeweka yangu na hilo huwezi kunibadilisha