Katibu mtendaji
JF-Expert Member
- Feb 14, 2015
- 700
- 244
Hizo pesa anazotumia kwenye hiyo mizunguko kwanini asiende kuchimba mabwabwa kule monduli ili wafugaji wa monduli wapate sehemu ya kunywesha mifugo yao.
Subiri uone Lowasa lazima abetuliwe kwenye hili sakata la ufisadi.Bc ukweli ni kwamba magufuli hana ubavu wa kupeleka mapapa kwenye mahakama ya mafisadi atapeleka vidagaa tu
kwa nini hizo hela asisaidie wamasai wenzake kule monduli wanaoishi kwenye dhiki iliyokithiri ambao wamempa heshima ya kuwa kiongozi wao karibu robo karne?
by the way kama hatasikia huu ushauri huko kuzunguka kwake atatumia chopa tena au gari? au meli? treni? bodaboda, baiskeli, bajaji ......
Lowassa ataishi mioyoni mwetu kwa miaka mingi ijayo.
hizo pesa za kuzunguka nchi nzima naamuru zielekezwe kuchimba visima kule Monduli, wananchi wanachangia maji na Ng'ombe kwenye mito.
mimi nina swali moja tu kwake, je ataweeeza...?Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema akiungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa kesho ataanza ziara ya kuzunguka nchi nzima kuwashukuru Watanzania kwa kumpigia kura. Katika ziara hiyo ambayo itaanzia mkoani Tanga, Lowassa ataambatana na viongozi wa Chadema na Ukawa.
hizo pesa za kuzunguka nchi nzima naamuru zielekezwe kuchimba visima kule Monduli, wananchi wanachangia maji na Ng'ombe kwenye mito.
Lowassa ataishi mioyoni mwetu kwa miaka mingi ijayo.
Hiv mnaumwa na nin nyie vibaka wa ccm? Pesa zenu?nchi yenu hii mpaka mnune mtanzamia mwingine kutembelea watanzania wenzake? Kwa nin mnawashwa na makalio kiasi hiki? Tusi la serukamba nyie kiss you are ass hole
usilete utani kamanda. hivi hujawahi ona watu wenye ushawishi hasa wa kununua watu kwa mapesa yao? ?? ni kweliiii? unadhani asingetumia ushawishi wa pesa leo hii ungekuwa ukimsikia? ?? wapiiiii! ! angeshajikatia zake tamaa sahiz angekuwa monduli anachunga ngombeTokea nimezaliwa sijawahi kuona mtu mwenye ushawishi kwenye jamii kama Lowasa ,ya Nyerere na Sokoine tulihadithiwa tu ,Hakika Lowasa ni mfano wa kuigwa na kila Mwanaume ,msimamo,nidhamu,ujasiri,kutokukata tamaa ,busara ni baadhi ya mambo tu nliyojifunza kwako
Tokea nimezaliwa sijawahi kuona mtu mwenye ushawishi kwenye jamii kama Lowasa ,ya Nyerere na Sokoine tulihadithiwa tu ,Hakika Lowasa ni mfano wa kuigwa na kila Mwanaume ,msimamo,nidhamu,ujasiri,kutokukata tamaa ,busara ni baadhi ya mambo tu nliyojifunza kwako