Aliyekwambia lowassa rais nani?
Ajabu amewahonga hata UKAWA ambao walimpa jina la Fisadi nakusababisha ashindwe kuwa waziri mkuu. Chadema wako kimya kabisa juu ya Lowassa na ufisadi wake! Naam, ela ilimuuza bwana yesu sembuse Chadema na ukawa(ukiwa). Tz tunakazi ya kutafuta chama kisafi.
wanajanvi nimekuja na hoja hii kwamba lowasa kuwa rais sina shida lakin kwa nin ana tumia hela nyingi kuhonga honga makanisan na misikitin? "nyerere alisema anayetaka urais kwa kuhonga watu huyo mwogopeni kama ukoma" akijenga hoja kwamba ikulu kuna biashara gani? hela anayotumia kuhonga watu amepewa na nani? na atarudishaje akiwa rais wetu? haya ni maswali ya msingi sana tunatakiwa kuweka ushabiki pembeni namtaka yeye mwenye lowasa aje atujibu kwa ufasaha kama anataka kuwa kiongoz wetu kwa sabab ikulu ni mahali pa takatifu haiwez kuwa pango la walanguz lowasa anachofanya ni ulanguz mkubwa ili aingie ikulu. nawasilisha.

Wewe amewahi kukuhonga?thubutu,huna hata hadhi ya kugusa kamba za viatu vyake

1. Ushahidi?!
2. Wote wanahonga! (Kingunge)
3. Ungeitafuta nafasi hiyo ungetumia mbinu gani isiyohitaji pesa?!
. UKAWA ni strategy yao na mtaji wao ni EL. Wanaombea CCM imteuwe awe mpeperushaji bendera ndipo utakaposikia mawe yatakayopigwa. Pia ujue 1) EL ana watu wengi ndani ya chama chake hawampendi au ni maadui zake akiteuliwa wataondoka/watahama kwenda upinzani na kuifanya CCM iwe dhaifu na kushindwa uchaguzi. Wapinzani wake EL wengine wengi wanakubalika kwenye vyama vingine vya upinzani, kwa hiyo wataongeza nguvu kuipiga chini CCM na EL wao. 2) UKAWA wanajua kuwa asipoteuliwa EL wafuasi wake ni wengi, wengine watakwenda upinzani na wengine wataendelea na vita vya ndani kwa ndani wakati wa uchaguzi jambo ambalo litaifanya CCM iwe na wakati mgumu sana na kushindwa uchaguzi. Hata ingawa EL hawezi kupokelewa na vyama vya upinzani. Huu ndiyo mtaji wa UKAWA na wamenyamaza ili CCM ifanye makaosa hayo. CCM ina kazi mwaka huuAjabu amewahonga hata UKAWA ambao walimpa jina la Fisadi nakusababisha ashindwe kuwa waziri mkuu. Chadema wako kimya kabisa juu ya Lowassa na ufisadi wake! Naam, ela ilimuuza bwana yesu sembuse Chadema na ukawa(ukiwa). Tz tunakazi ya kutafuta chama kisafi.
Takukuru wanalijua hili? By the way kama ni kutumia pesa wote waliokwisha tangaza nia na ambao hawajaatangaza wanafanya hivyo hivyo.wanajanvi nimekuja na hoja hii kwamba lowasa kuwa rais sina shida lakin kwa nin ana tumia hela nyingi kuhonga honga makanisan na misikitin? "nyerere alisema anayetaka urais kwa kuhonga watu huyo mwogopeni kama ukoma" akijenga hoja kwamba ikulu kuna biashara gani? hela anayotumia kuhonga watu amepewa na nani? na atarudishaje akiwa rais wetu? haya ni maswali ya msingi sana tunatakiwa kuweka ushabiki pembeni namtaka yeye mwenye lowasa aje atujibu kwa ufasaha kama anataka kuwa kiongoz wetu kwa sabab ikulu ni mahali pa takatifu haiwez kuwa pango la walanguz lowasa anachofanya ni ulanguz mkubwa ili aingie ikulu. nawasilisha.