Tanzania watu wenye pesa ndio wanaamua wawafanyie nini Watanzania lakini sio Watz wanataka wafanyiwe nini.Kwa hili sishangai na 2015 Lowasa akiwa raisi msishangae pia sbb mfano mdogo ni huu mswaada wa Katiba ambao utakuwa Sheria unawakilishwa na DSM,Dodoma,na Zanzibar kwa watu zaidi ya milioni 40 !!!!!!?hii inaingia akilini kweli?,na Watanzania bado wamekaa kimya tu ni mizaha tu hata hili la Lowasa ni mzaha na bado Watanzania mtakaa kimya na mtakufa bila kelele kwa kufungwa na propaganda za mafisadi wa ccm.