2015..cjui hii nyimbo ya amani na utulivu itaendelea kuwepo! Najiuliza cpati jibu,je wapemba nao watakuwa na nchi yao mara baada ya Zanzibari kujitenga? Lowassa akiwa raisi nahama nchi.
Hama tu, Tz ina wenyewe, wenye uchungu nayo.
Na... taka tusitake....CCM ITATUTAWALA DAIMA.
Hama tu, Tz ina wenyewe, wenye uchungu nayo.
Na... taka tusitake....CCM ITATUTAWALA DAIMA.
Naota nadanganywa eee naota nadanganywa ooooooooooooh. Kuna ndoto lakini ndoto nyingine usiwaambie watu. wale wale wanaambiwa mama kaenda kununua mtoto hakumbuki hata tumbo alilokuwa nalo kabla! Tunajua sasa mtoto anazaliwa na mama baada ya kubeba mimba na hanunuliwi! Kwisha habari yenu!Hama tu, Tz ina wenyewe, wenye uchungu nayo.
Na... taka tusitake....CCM ITATUTAWALA DAIMA.
hawa jamaa ni matajiri lakini bado wananjaa na madaraka kama hawajala vile.waTz safari hii tumepatikana!!!!
Kwa Tanzania kila kitu kinawezekana!
Sijuhi hii nchi ni ile ya kusadikika,EL kaachia ngazi serikalini kwa kutumia madaraka yake visivyo kaujumu taifa bado hatujakaa sawa Ccm wakamrudisha serikalini kupitia mhimili mwingne wa serikali Bunge (kupitia kamati) nyeti yenye kuhusika na usalama wa taifa
kwa maana nyepesi ni kwamba sasa idara ya usalama ya taifa inawajibika kwa mtu yuleyule aliyelihujumu taifa miaka michache iliyopita ...where is good governance here,where is the rule of law then, and where is the law of the state?finally God will make the law by himself!