Lowassa kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by fangfangjt, Apr 6, 2011.

 1. fangfangjt

  fangfangjt JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2011
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 571
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Baada ya matokeo mabaya kwenye uchaguzi mkuu uliopita na CCM kugawanyika katika makundi mawili, moja ni wale wazalendo na jengine wenye maslahi binafsi.

  Imebainika wakati

  -kundi la wazalendo likijaribu kukiimarisha chama kwa kutaka mafisadi na wale viongozi na wanachama wachafu watengwe na chama,

  -kundi la pili liliojaa wabinafsi limesema matokeo mabaya ya chama uchaguzi mkuu uliopita umetokana na rais ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM Taifa kuelemewa na majuku ya kiserikali (ikiwamo kuzidi safari za nje), hivyo kukosa muda kuimarisha chama (kuzunguka kufungua matawi ya chama etc).
  Hivyo wamependekeza Rais hasiwe mwenyekiti wa chama Taifa na kutaka nafasi hiyo ichukuliwe na mtu mwengine. Habari zinasema kuna mkakati wa nafasi hiyo ya Uenyekiti wa CCM Taifa kuchukuliwa na Lowassa ili aweze kuongoza chama kwenye uchaguzi mkuu ujao pamoja na kurahisisha kazi yake ya kujisafi ndani ya chama na kupata "support" yakutosha kujisafisha mbele ya wananchi.
   
 2. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 2,965
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat?:A S 2152::A S 2152::A S 2152::A S 2152::A S 2152::A S 2152::A S 2152::A S 2152::A S 2152::A S 2152:
   
 3. n

  nndondo JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Briliant, go go go CCM mchumu 'mwaaaaaaaaaaa' hatuwezi kuendelea kumlea mwenyekiti asiyekua na uwezo kama JK, kachoka kachoka kashindwa kashindwa hawezi hawez mwacheni aende, mchumu mwaaaaaaaa halo halo walisema hayawi mbona yamekua walisema hayawezi mbona kayaweza
   
 4. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwa Tanzania kila kitu kinawezekana!
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,524
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 0
  well done CCM... a natural death on board
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  Apr 6, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 19,509
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  ahhahaaaaa JK bwana
   
 7. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #7
  Apr 6, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,358
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  okey,tuna hitaji mazuzu mengi ndani ya ccm as possible
   
 8. d

  donmzushi Member

  #8
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bora wajianike tuu mafisadi hao; ufisadi hadi ndani ya chama?
   
 9. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,012
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  ya ngoso tumwachie ngoso
   
 10. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #10
  Apr 6, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,616
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  sio ajabu, binafsi naona poa tu coz ni kawaida kwa mafisadi kutawala na kushika nyazifa za juu!
   
 11. C

  Consultant JF-Expert Member

  #11
  Apr 6, 2011
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 3,753
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Ilitakiwa iwe hivyo tangu zamani. Wapi na wapi Rais ang'ang'anie u-enyekiti wa Chama pia?.
   
 12. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #12
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakitaka hata shetani wamuweke awe mwenyekiti wao. who cares?
   
 13. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #13
  Apr 6, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,560
  Likes Received: 783
  Trophy Points: 280
  UTINGO umeisikia kwenye basi nini wakati wa kupakia mizigo, siyo ngoso ni NGOSWE. Zao la shule kata
   
 14. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #14
  Apr 6, 2011
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 680
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Ya Zuma na Mbeki yanataka kutokea? i wish to be very soon!
   
 15. d

  damn JF-Expert Member

  #15
  Apr 6, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 585
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  shika adabu yako mtoto. wangine humu jamvini wakati wakiwa shule ulikuwa hujatundikwa hata mimba. jitahidi kuchagua maneno ya kutumia hata kama mtu ametype vibaya. huo ndiyo ustaarabu!
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  Apr 6, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,712
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  wacha wafu wawazike wafu wenzao
   
 17. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #17
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lowassa must fight. Mamwinyi wa pwani wako kiislam zaidi. asione akichekacheka nao nje. wakiingia misikitini hadithi ni tofauti kabisa.
   
 18. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #18
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,421
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 160
  That is like switching off of the oxygen machine..........in the ICU
   
 19. m

  msambaru JF-Expert Member

  #19
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 231
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Lowasa ni jizi acheni atusaidie kuzika wezi wenzake.
   
 20. semango

  semango JF-Expert Member

  #20
  Apr 6, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hawa jamaa ni matajiri lakini bado wananjaa na madaraka kama hawajala vile.waTz safari hii tumepatikana!!!!
   
Loading...