KING COBRA
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 2,782
- 864
Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu aliyepima mwenyewe akafadhaika akaona kuwa inafaa aachie ngazi, atakuwa tena Mgeni Rasmi katika harambee ya kuchangia kumalizia Ujenzi wa Kanisa la Usharika wa amani lililopo sabasaba Mjini singida, tarehe 27/11/2011. Viongozi wa Kanisa naomba kujua msimamo wenu. UFISADI MBAYA LAKINI PESA YA FISADI TAMUUUUU........... MWANAFALSAFA NASEMA "TUMBO LENYE NJAA HALIJUI SHERIA"

mheshimiwa Lowassa anaendeleza harakati zake makanisani na leo yupo kwenye kanisa la KKKT Mkoani Singida nimepata taarifa kwamba tofauti na ilivyozoeleka kanisa hilo leo lipo full nyomi hakuna hata sehemu ya kuhamishia mguu yaaoi tunasema limetapika hivi hizi siasa za makanisani lowassa lengo lake nini?

Huwa nawaeleza wanajf kuwa kwa sisi tunaozunguka vijijini kufunga solar panel tunaelezwa kuwa Mh Lowasa bado watu wanamkubali sana tofauti na sisi wachache tufikiliavyo humu ndani(jf)
ktk vijiji na miji niliyozunguka bado baadhi ya watu wanmwona Mh Lowasa ni kama kiongozi aliyejotoa mhanga kukinusuru chama chake na serikali,hivyo wanamkubari kuwa ni mvumilivu na anastahili kuendelea kupewa madaraka
Bado naendelea kuamini kuwa ikipigwa kura leo juu ya uraisi wa 2015,Mh Lowasa anaweza akachukua nchi
ktk vijiji nilivyopita watu wengi wananieleza kuwa walichukizwa sana na ile kauli iliyotelewa na Mh mmoja kuwa ana Vijisent tu,hii kauli nimeipata kwa wanavijiji wa
magole
lumuma.
gairo,
kihelezi
kidogobasi,
.luwangwa
.mkindo
,luhombero
,dabaga
,chunya,
msunjilile
na banyibanyi
huko nilikwenda kufunga solar panel na niliwauliza wanakijiji juu ya mambo mengi ya kisiasa
Mh Lowasa anaweza kama akipata nafasi
kwani kanisani anafanya nini jamani
tukumbuke kuwa yeye ni Mkristo kuhudhuria kanisani ni wajibu wake kulingana na imani yake alafu tujue kuwa Mungu ni tofauti sana na sisi wanadamu tunavyo waza maana tunaweza tukaendelea kumuhesabia makosa EL kumbe yeye alisha tubu na kusamehewa siku nyingi na Mungu wake
Nadhani kama tuna kumbuka huko nyuma wakati hizi tuhuma za ufisadi ndiyo zianza alialikwa kanisa fulani DAR ( silikumbuki jina ) akatoa mchango wake baadaye viongozi wakuu wa kanisa wakaja juu na kusema kama ni huo mchango wake arejeshewe
Kwa kipindi hiki tujiulize kwa nini makanisa mengi yanamualika sana EL kwenye matamasha yao ( Je, yanapenda pesa tu?, Anakubalika kwa sasa na jamii yote kiasi kwamba ana mvuto kwa jamii hivyo pesa hukusanywa kirahisi? )
Please we have to think and rethink " WHY???????????"
Huwa nawaeleza wanajf kuwa kwa sisi tunaozunguka vijijini kufunga solar panel tunaelezwa kuwa Mh Lowasa bado watu wanamkubali sana tofauti na sisi wachache tufikiliavyo humu ndani(jf)
ktk vijiji na miji niliyozunguka bado baadhi ya watu wanmwona Mh Lowasa ni kama kiongozi aliyejotoa mhanga kukinusuru chama chake na serikali,hivyo wanamkubari kuwa ni mvumilivu na anastahili kuendelea kupewa madaraka
Bado naendelea kuamini kuwa ikipigwa kura leo juu ya uraisi wa 2015,Mh Lowasa anaweza akachukua nchi
ktk vijiji nilivyopita watu wengi wananieleza kuwa walichukizwa sana na ile kauli iliyotelewa na Mh mmoja kuwa ana Vijisent tu,hii kauli nimeipata kwa wanavijiji wa
magole
lumuma.
gairo,
kihelezi
kidogobasi,
.luwangwa
.mkindo
,luhombero
,dabaga
,chunya,
msunjilile
na banyibanyi
huko nilikwenda kufunga solar panel na niliwauliza wanakijiji juu ya mambo mengi ya kisiasa
Mh Lowasa anaweza kama akipata nafasi
Zungukia vijiji na sehemu mbalimbali katika mikoa ya mwanza,shy,musoma,kagera,arusha,mbeya utupe matokeo yake pia
hao wananchi ni wanachama wa CCM au wale kama mimi tusiokuwa na chama?
Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu aliyepima mwenyewe akafadhaika akaona kuwa inafaa aachie ngazi, atakuwa tena Mgeni Rasmi katika harambee ya kuchangia kumalizia Ujenzi wa Kanisa la Usharika wa amani lililopo sabasaba Mjini singida, tarehe 27/11/2011. Viongozi wa Kanisa naomba kujua msimamo wenu. UFISADI MBAYA LAKINI PESA YA FISADI TAMUUUUU........... MWANAFALSAFA NASEMA "TUMBO LENYE NJAA HALIJUI SHERIA"
mimi napofanya kazi zangu huwa siulizii we CDM ama CCM