Lowassa kutumia zaidi ya shilingi Bilioni 1.5 kutangaza nia Arusha

Inamaana kwa hesabu ya haraka arusha kwa siku tatu arusha patakua na ongezeko la bodaboda zaidi ya 3500 kutoka kila mkoa na 500 za arusha....?

Alaf kukodi uwanja hiyo gharama ya mil.20 kama ni hivyo waimba kwaya au mihadhara wasingeweza kukodi viwanja...!

Inamaana kuna wanavyuo zaidi ya 6000 wameacha masomo wameenda arusha, na vyuo vingine wapo kwenye mithiani saiv ? Kama vyuo vya singida na dodoma baadhi wapo kwenye mithiani inamaana gafla wanafunzi mia moja wataomba dharula ?

USE UR BRAIN WE BOYA NA POST ZAKO
 
chakii

wivu huo. Nyie za kwenu za Escrow mmezificha bado. Watanzania wenzangu please say No to third term, No to uncle No to prject ya jumba kuu AKA Membe
 
Last edited by a moderator:
Mie ni.mwanachuo lakini tumechanga 40,000 kila mmoja kukodi coaster jana kutoka doodma mpaka arusha na hatujapewa hata 100 na lowassa.......siku nyingine ukiona viroba vimekubali kichwani husipost kitu JF utaumbuka bure

Mihemko
 
Uwezo wa Watanzania wa kufikiri mi mdogo sana. Wabunge wetu na wajumbe wetu wa NEC ya CCM wananunuliwa kwa fedha ndogo sana kisha wanaweka pamba masikioni na kusahau uozo wa Lowassa. Kweli tutadharauliwa kama taifa kwa mtu huyu akipitishwa kugombea.

Mkuu mwache CCM wampitishe hapo UKAWA hata tukiweka Chura tutamshinda Lowassa kama tunamuangusha mlevi.
 
Inamaana kwa hesabu ya haraka arusha kwa siku tatu arusha patakua na ongezeko la bodaboda zaidi ya 3500 kutoka kila mkoa na 500 za arusha....?

Alaf kukodi uwanja hiyo gharama ya mil.20 kama ni hivyo waimba kwaya au mihadhara wasingeweza kukodi viwanja...!

Inamaana kuna wanavyuo zaidi ya 6000 wameacha masomo wameenda arusha, na vyuo vingine wapo kwenye mithiani saiv ? Kama vyuo vya singida na dodoma baadhi wapo kwenye mithiani inamaana gafla wanafunzi mia moja wataomba dharula ?

USE UR BRAIN WE BOYA NA POST ZAKO

Kama wakuu wa vyuo nao wamekubali kupokea mgao unadhani kuna linaloshindikana...

Stop attacking jibu hoja acha matusi...
 
Watanzania msiogope kuchukua pesa maana ni kodi zenu Ila mkumbuke kauli mbiu yetu isemayo kula ccm kulala UKAWA
 
Sioni sababu ya kushangaa kama mtu ana amua kupoteza pesa zake hata kama si za jasho lake, nadhani tumuache afanye awezacho lkn maamuzi ya kumweke Ikulu ndo tuyalaumu hapo baadae coz EL hawezi kuwa Raisi bila sisi kumpigia kura so kwa wasiomtaka wasimpigie tu then tuone.
 
chakii

Unapoandaa harusi pesa nyingi hutolewa na wachangiaji hivyo hata kwa Lowassa inawezekana kachangiwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom