mkuu sina shaka na lowassa katoa wapi pesa hizo...jibu ni very simple...KAKOPA BENKI...issue nayoiona mie ni amewezaje kupata hilo eneo na kubomoa jengo la kihistoria kama hilo?...pili lazima tujue hiyo design ya jengo la ghorofa 25 litakuwa na facilities gani au matumizi gani?...unawezakuta ni jumba la sanaa la ghorofa 25..so matumizi yaleyale na tija juu
Tanzania: Nyumba Ya Sanaa Wrangle Lands in Court
Ray Naluyaga
22 July 2009
The said JVA was signed between Nyumba ya Sanaa and Culture Limited on the one hand and Ohio Street Properties Limited (OSPL) and National Microfinance Bank PLC (NMB) on the other, for the implementation of the project entailing the construction of a commercial building at Nyumba ya Sanaa Plot No 2366/49, situated at Upanga area in the city.
The implementation of the project entailed, among other initial steps, the incorporation of a joint venture liability company to be known as Upanga Joint Venture Company Limited with Nyumba ya Sanaa, OSPL and NMB as shareholders," asserts the plaint verified by Mr Lyimo. It states further:
source; allAfrica.com: Tanzania: Nyumba Ya Sanaa Wrangle Lands in Court
Ray Naluyaga
22 July 2009
The letter disclosed that the title deed had been delivered to them as part of a joint venture agreement allegedly signed April 29, this year, between their client, Integrated Property Investment Limited (IPIL) and Nyumba ya Sanaa and Culture Limited," says the plaint.
According to it, Ismail and Co. further disclosed that their client, IPIL, remitted into the company's account Sh145 million purportedly in partial consideration of the alleged joint venture between the two companies.
source; allAfrica.com: Tanzania: Nyumba Ya Sanaa Wrangle Lands in Court
Yale yale ya kuibiwa 10M na mwizi akaja kukupa pole ya 1M unaanza kumwona mwizi ni mwema.............Lol........JF ze grit thinker...........!!!! Nina mashaka na wewe
We need to reject all these corrupt & greed-to-the-teeth individuals who illegally plunder our country's resources to quench their own illicit & personal get-rich-as-illegally-as you-can madness.
WaTz tuamke na kuwakataa hawa waporaji wa mali za taifa bila kujali RANGI zao, MAKABILA yao, DINI zao, JINSIA zao, wala CHAMA walichopo.
Tuwang'oe kwani wanaliangamiza taifa.
Lowassa ni kiongozi kupitia CCM, chama kinachodai kuwa Serikali yake haiwezi kutoa ELIMU na AFYA bure wakati viongozi wake kama huyu wanaweka vitegauchumi vya mabilioni.
Ili kuweza kupata mkopo wa mabilioni, lazima Benki ihakikishe usalama wa mkopo wanaokupa.
Je Lowassa amepata wapi hivyo vitegauchumi vilivyotumika kama 'collateral'?
Another tale is of GeneRal Sani Abacha....he died of viagra overdose.....value ya pesa na dhahabu zake zilizokuwa swiss ...zinafikia dola bilioni 300..[rushwa ya mafuta hiyo]....you can google kuona kuhusu abacha....sio serikali yake wala familia yake ambayo hadi leo wameambulia senti kwenye hizo pesa......
Sometimes wazungu wanapotusamehe madeni nahisi wanatuonea huruma wanaamua kuturudishia sehemu ya pesa zetu huko kwao kwa mlango wa nyuma......kwa kuwa wanajuwa there is no way we can claim them anyway........lakini sana sana mapesa ya viongozi wajinga wengi wao waaafrika ndio wanatumia kukopeshea wateja wao kwakuwa sisi hatuna kazi nazo...........au wakipenda wanatupa tena sisi soft loans....hawatupendi jamani wanajuwa wameshatunyonya sana!!!
The fact that has decided to invest in Tanzania, I think he should be credited for that. There are many Tanzanians who are going to be employed up there. If there is a contract between Nyumba ya Sanaa and his company, what is the problem? After all, he has not changed the use of the area only improved!
Hey, Tanzanians, let us encourage our own people to invest in Tanzania. It is for the benefit of all Tanzanians.
Do you want him to invest elsewhere?
NilikuWa Geneva last time ...banker mmoja akaniambia namna watoto wa Mobuto...na hata serikali ya Zaire[congo] wanavyopata taabu ku claim pesa za baba yao....wa swiss wametuibia sana ...jaamaa aliniambia pesa zilizopo kwenye mabenki yao ambazo beneficiaries wanashindwa kuzi claim ni billions of usd.....beleave me....!!! nikamuuliza ..je kuna viongozi wa kitanzania waliokufa wakaacha pesa kwenye coffers zao ...aakacheka!!!...nikamkumbuka marehemu Amir Jamal......
WA Swiss ni wasiri sana ...lakini mlolongo wa kudai pesa pale kiongozi au mwenye pesa anapofariki ni mgumu sana....akaunti nyingi za siri hazina majina wala picha ,zina password ....na funny questions and answers.....na kila mwenye secret account anakuwa assigned secret banker wa kumtafuta wakati anapotaka kufanya transaction....beleave me mapesa ya kina sadam,king hussein,bokkasas...na wote mnaowajuwa yako huko....waliopinduliwa hawakuweza ku claim pesa zao......kuna viongozi wachache ambao pale walipoona afya zinakuwa mgogoro waliweza kuhamishia pesa kwenye aakaunti za watoto wao au kuwapa access....lakini wengi wameliwa jamani!!!
Ndio maana viongozi wajanja kama kina Moi,jaramogi,kenyatta etc wakaona huu ni ujinga....wakawekeza pesa zao zote ....Kenya.......
Nawahakikishieni watanzania value ya corruption tangu uhuru ingetumika kama stimulus kwenye nchi yetu .....tungeona maajabu kabisa.....siongei haya kwa kuwa naunga mkono UFISADI....bali naongea hali halisi...wazee!!!
Jiulizeni pesa za EPA tumefaidika nini ? hazijarudi....kama ilivyoahiwa na yale majizi yamezikimbizia DUBAI ,,,...kununua majumba....tumefaidika nini??..
Kweli wadanganyika tuna kazi.
Lowassa et al. (Chenge, nk) pesa wanazo tayari na ziko nje ya nchi. Swali tunalotaka kujiuliza tuzirudisheje? Phillemon Mikael anajaribu kwa kadri ya uwezo kuelimisha faida ya hili swala watu hatuelewi.
Nenda Kenya, kuna makampuni Mengi mpaka mabenki yanamilikiwa na familia ya Kenyata. Hebu Jiulize unafikiri Tanzania viongozi wetu hawana hela za kutosha kuleta nchini? Ni matajiri sana hawa!!!!!!
Mambo yale yale, hala la EPA zilikuwa zinasuasua BOT mpaka wajanja wakaamua kuzichota hali hatuna mashule, mahospitali, nk; Ni sawa kabisa na hili waacheni wazilete hela kwani inaelekea zipo nyingi tu huko nje zimekaa tu. Wakifa hawa zitabaki huko huko!
Watanzania tuamke tuache unafiki, huu umetufikisha hapa tulipo.
Ahasante!
kwa hiyo mwizi akikuibia fedha zako za mauzo za nusu mwaka halafu akajitokeza na ukamtambua ila akawa ananunua mahitaji yake dukani kwako kwa kutumia hela zako alizokuibia hutakuwa na tatizo naye???Kumbe mzee wa vijisent cha mtoto, mzee wa vijisentx70 equal to EL. Kwa kuwa amewekeza hapa na kodi zote analipia hapahapa sina tatizo ila ajitokeze kuchangia jamii kama Rg M