Lowassa kutumia sh bilioni 70 kujenga gorofa 25 Dar City Centre!

mkuu sina shaka na lowassa katoa wapi pesa hizo...jibu ni very simple...KAKOPA BENKI...issue nayoiona mie ni amewezaje kupata hilo eneo na kubomoa jengo la kihistoria kama hilo?...pili lazima tujue hiyo design ya jengo la ghorofa 25 litakuwa na facilities gani au matumizi gani?...unawezakuta ni jumba la sanaa la ghorofa 25..so matumizi yaleyale na tija juu

Swadakta,

Kama kawaida yetu, hukurupuka na shuka ilhali kushakucha!

Tanzania: Nyumba Ya Sanaa Wrangle Lands in Court

Ray Naluyaga
22 July 2009

The said JVA was signed between Nyumba ya Sanaa and Culture Limited on the one hand and Ohio Street Properties Limited (OSPL) and National Microfinance Bank PLC (NMB) on the other, for the implementation of the project entailing the construction of a commercial building at Nyumba ya Sanaa Plot No 2366/49, situated at Upanga area in the city.

The implementation of the project entailed, among other initial steps, the incorporation of a joint venture liability company to be known as Upanga Joint Venture Company Limited with Nyumba ya Sanaa, OSPL and NMB as shareholders," asserts the plaint verified by Mr Lyimo. It states further:

source; allAfrica.com: Tanzania: Nyumba Ya Sanaa Wrangle Lands in Court

Tungekuwa makini tangu wakati wa kesi za hati miliki ya eneo.

Ray Naluyaga

22 July 2009

The letter disclosed that the title deed had been delivered to them as part of a joint venture agreement allegedly signed April 29, this year, between their client, Integrated Property Investment Limited (IPIL) and Nyumba ya Sanaa and Culture Limited," says the plaint.
According to it, Ismail and Co. further disclosed that their client, IPIL, remitted into the company's account Sh145 million purportedly in partial consideration of the alleged joint venture between the two companies.

source; allAfrica.com: Tanzania: Nyumba Ya Sanaa Wrangle Lands in Court
 
Mi naona ni bora kaamua kuingiza utajiri wake kwenye mzunguko wa uchumi wa tanzania ambayo itafanya wananchi wafaidi na pia uchumi utakua.
Kama mafisadi wote walioiba hela za watanzania wataamua kuzirudisha kwenye mzunguko kwa hali hii uchumi utakua sana ila wale wenzangu na mimi kama chenge wanaoweka hela kwenye account za ulaya bila faida yoyote kwa watanzania wanafaa wafungiwe jiwe la kusaga nafaka na kutupwa baharini.
 
Tujiulize haya
1.Upatikanaji wa plot umezingatia taratibu?au kama ulizingatia taratibu kwa nini wasanii wakalalamika?
2.Yale malalamiko ya wasanii yalisikilizwa na kutolewa maamuzi ya haki ipasavyo?
3.Je hilo jengo jipya litatoa nafasi gani kwa wasanii kama ilivyokuwa,au wasanii wamepewa nafasi gani badala yake?
4.EL ana utajiri mkubwa,je uko declared kama inavyotakiwa na maadili ya viongozi wa umma?
5.Vyanzo vya huo utajiri,unakubalika kisheria?unazingatia taratibu zote kama ulipaji wa kodi husika na si unatokana na madaraka aliyowahi
kuwa nayo au njia chafu kama wizi nk?
6......
Hayo ni baadhi tu wengine wanaweza kuongezea,hapo itaonyesha kwa nini analalamikiwa EL.Hakuna mwenye akili timamu anaweza kumpongeza aliyepata fedha kwa vyanzo visivyo hali kwa sababu eti alifanya matumizi mazuri na yenye manufaa kwa nchi kwa kutumia fedha haramu.Tunataka kuendelea tuangalie waliondelea wanafanya nini mfano inapokuja swala kama la EL.
 
Mradi kama huo ni ufisadi kwa civil servant.Lakini navyojua hiyo kampuni tajwa hapo juu ni ya wasomali ambao wana mradi wa nyumba za residential pale ununio na bahari beach,labda kama ana hisa umo?
 
Kama habari hii ni ya kweli, pesa sio suala kubwa sana. Anaweza kuwa na vyanzo mchanganyiko ikiwa ni pamoja na kukopa benki, mtaji wa Richmond, n.k. na ubia na wawekezaji wa nje na ndani (wawezaita mafisadi kutegemeana na mtazamo). Hilo eneo alilochukua peke yake ni mtaji mkubwa sana unaoweza kufanywa collateral ya nguvu. Hupati rasilimali ya aina hiyo kienyeji TZ. Lazima uwe mtu maalum sana, mwenye malengo mahsusi na connection nzito.

Suala hapa ni: EL ametumia taratibu na/au ushawishi gani kupata eneo hilo? Na kama ana wabia ni akina nani hao na wana mwelekeo gani kwa mustakabali wa nchi hii? Haya ni maswali yasiyoepukika kwa mtu aliyeishaingia shaka kuu la maadili kama EL ambaye, kwa bahati mbaya, hawezi kutazamwa kama mwekezaji wa kawaida. Siku zote yeye atakuwa "guilty until proven innocent"!
 
Yale yale ya kuibiwa 10M na mwizi akaja kukupa pole ya 1M unaanza kumwona mwizi ni mwema.............Lol........JF ze grit thinker...........!!!! Nina mashaka na wewe

Tatizo kubwa la Watanzania hatujui kuwa hatuna serikali inayoweza kukemea vitu kama hivi.

Ili unielewe inabidi uwe na uwezo wa kuijbu swali lifuatalo.

Mzee wa Visenti Chenge alisha sema wazi kuwa ana haki ya kumiliki hela nje ya nchi. Je alifanywa nini? Kama kiongozi wa serikali anaweza kuwa na bilioni moja nje na hakuna sheria inayomgusa unategemea nini?

Ninachotaka tuelewe ni kwamba kwa hali iliyopo hakuna kinachoweza kufanyika kumzuia Lowassa au viongozi wetu kuwa na utajiri mkubwa. Sio siri hawa watu ni matajiri sana na hakuna anaeweza kuwasumbua. Sasa nini kifanyike? Yupi asifiwe? Anaeziacha nje au anaezileta hapa nchini?

Maboutu Zaire alikuwa na hela nyingi sana, lakini alipokufa zote zilipotelea nje. Je angefanya kama Lowassa anaetaka kuzileta nchini je leo hii Wazaire wasingefaidika?

Wakati mwingine inabidi tukubali udhaifu wetu mpaka hapo tutakapo pata serikali yenye nguvu. Jamaa tayari hela anazo aziache wapi?
 
NilikuWa Geneva last time ...banker mmoja akaniambia namna watoto wa Mobuto...na hata serikali ya Zaire[congo] wanavyopata taabu ku claim pesa za baba yao....wa swiss wametuibia sana ...jaamaa aliniambia pesa zilizopo kwenye mabenki yao ambazo beneficiaries wanashindwa kuzi claim ni billions of usd.....beleave me....!!! nikamuuliza ..je kuna viongozi wa kitanzania waliokufa wakaacha pesa kwenye coffers zao ...aakacheka!!!...nikamkumbuka marehemu Amir Jamal......
WA Swiss ni wasiri sana ...lakini mlolongo wa kudai pesa pale kiongozi au mwenye pesa anapofariki ni mgumu sana....akaunti nyingi za siri hazina majina wala picha ,zina password ....na funny questions and answers.....na kila mwenye secret account anakuwa assigned secret banker wa kumtafuta wakati anapotaka kufanya transaction....beleave me mapesa ya kina sadam,king hussein,bokkasas...na wote mnaowajuwa yako huko....waliopinduliwa hawakuweza ku claim pesa zao......kuna viongozi wachache ambao pale walipoona afya zinakuwa mgogoro waliweza kuhamishia pesa kwenye aakaunti za watoto wao au kuwapa access....lakini wengi wameliwa jamani!!!
Ndio maana viongozi wajanja kama kina Moi,jaramogi,kenyatta etc wakaona huu ni ujinga....wakawekeza pesa zao zote ....Kenya.......
Nawahakikishieni watanzania value ya corruption tangu uhuru ingetumika kama stimulus kwenye nchi yetu .....tungeona maajabu kabisa.....siongei haya kwa kuwa naunga mkono UFISADI....bali naongea hali halisi...wazee!!!
Jiulizeni pesa za EPA tumefaidika nini ? hazijarudi....kama ilivyoahiwa na yale majizi yamezikimbizia DUBAI ,,,...kununua majumba....tumefaidika nini??..
 
  • Thanks
Reactions: DSN
We need to reject all these corrupt & greed-to-the-teeth individuals who illegally plunder our country's resources to quench their own illicit & personal get-rich-as-illegally-as you-can madness.

WaTz tuamke na kuwakataa hawa waporaji wa mali za taifa bila kujali RANGI zao, MAKABILA yao, DINI zao, JINSIA zao, wala CHAMA walichopo.
Tuwang'oe kwani wanaliangamiza taifa.

Lowassa ni kiongozi kupitia CCM, chama kinachodai kuwa Serikali yake haiwezi kutoa ELIMU na AFYA bure wakati viongozi wake kama huyu wanaweka vitegauchumi vya mabilioni.

Ili kuweza kupata mkopo wa mabilioni, lazima Benki ihakikishe usalama wa mkopo wanaokupa.
Je Lowassa amepata wapi hivyo vitegauchumi vilivyotumika kama 'collateral'?
 
Vodacom, Alphatel,Bahari Beach Villaz, Alpha Dry Cleaners, Over 10 Houses Masaki, Oysterbay IST Appartments (JV with Slipway), Alpha School, Alpha House, Investments in Holland, Dowans, Richmond, Matukio akiwa PM, LoliondoGate, Annexed Ikulu Land Arusha, ENdless acres of acquired land, ranch in Tanga...etc etc etc.. Vingine vingi hatuvijui.. coz of front names and joint venture investments... Jamaa in total not worth less than 50million US... ANd im sure saivi anaingia kama bado hajaingia into energy sector. My take.. of course jamaa ni jambazi, hard working na mjanja. Tatizo anawaibia watanzania (but at least he invests in TZ as well..) The solution, any scandal with sufficient details, lipueni awe prosecuted, but ikishindikana as will probably be the case... NEVER EVER elect Him to any office after this, and especially that of the President of the URT.

Anaugonjwa wa kujilimbilizia. His lifestyle does not require him to want to amass 100s of Millions of $$$. He just does it because he thinks it makes him better... Delusions.
 
Another tale is of GeneRal Sani Abacha....he died of viagra overdose.....value ya pesa na dhahabu zake zilizokuwa swiss ...zinafikia dola bilioni 300..[rushwa ya mafuta hiyo]....you can google kuona kuhusu abacha....sio serikali yake wala familia yake ambayo hadi leo wameambulia senti kwenye hizo pesa......
Sometimes wazungu wanapotusamehe madeni nahisi wanatuonea huruma wanaamua kuturudishia sehemu ya pesa zetu huko kwao kwa mlango wa nyuma......kwa kuwa wanajuwa there is no way we can claim them anyway........lakini sana sana mapesa ya viongozi wajinga wengi wao waaafrika ndio wanatumia kukopeshea wateja wao kwakuwa sisi hatuna kazi nazo...........au wakipenda wanatupa tena sisi soft loans....hawatupendi jamani wanajuwa wameshatunyonya sana!!!
 
We need to reject all these corrupt & greed-to-the-teeth individuals who illegally plunder our country's resources to quench their own illicit & personal get-rich-as-illegally-as you-can madness.

WaTz tuamke na kuwakataa hawa waporaji wa mali za taifa bila kujali RANGI zao, MAKABILA yao, DINI zao, JINSIA zao, wala CHAMA walichopo.
Tuwang'oe kwani wanaliangamiza taifa.

Lowassa ni kiongozi kupitia CCM, chama kinachodai kuwa Serikali yake haiwezi kutoa ELIMU na AFYA bure wakati viongozi wake kama huyu wanaweka vitegauchumi vya mabilioni.

Ili kuweza kupata mkopo wa mabilioni, lazima Benki ihakikishe usalama wa mkopo wanaokupa.
Je Lowassa amepata wapi hivyo vitegauchumi vilivyotumika kama 'collateral'?

Kweli wadanganyika tuna kazi.

Lowassa et al. (Chenge, nk) pesa wanazo tayari na ziko nje ya nchi. Swali tunalotaka kujiuliza tuzirudisheje? Phillemon Mikael anajaribu kwa kadri ya uwezo kuelimisha faida ya hili swala watu hatuelewi.

Nenda Kenya, kuna makampuni Mengi mpaka mabenki yanamilikiwa na familia ya Kenyata. Hebu Jiulize unafikiri Tanzania viongozi wetu hawana hela za kutosha kuleta nchini? Ni matajiri sana hawa!!!!!!

Mambo yale yale, hala la EPA zilikuwa zinasuasua BOT mpaka wajanja wakaamua kuzichota hali hatuna mashule, mahospitali, nk; Ni sawa kabisa na hili waacheni wazilete hela kwani inaelekea zipo nyingi tu huko nje zimekaa tu. Wakifa hawa zitabaki huko huko!

Watanzania tuamke tuache unafiki, huu umetufikisha hapa tulipo.

Ahasante!
 
Another tale is of GeneRal Sani Abacha....he died of viagra overdose.....value ya pesa na dhahabu zake zilizokuwa swiss ...zinafikia dola bilioni 300..[rushwa ya mafuta hiyo]....you can google kuona kuhusu abacha....sio serikali yake wala familia yake ambayo hadi leo wameambulia senti kwenye hizo pesa......
Sometimes wazungu wanapotusamehe madeni nahisi wanatuonea huruma wanaamua kuturudishia sehemu ya pesa zetu huko kwao kwa mlango wa nyuma......kwa kuwa wanajuwa there is no way we can claim them anyway........lakini sana sana mapesa ya viongozi wajinga wengi wao waaafrika ndio wanatumia kukopeshea wateja wao kwakuwa sisi hatuna kazi nazo...........au wakipenda wanatupa tena sisi soft loans....hawatupendi jamani wanajuwa wameshatunyonya sana!!!

Mkuu ahsante sana kwa shule unafiki umetuzidi tunashindwa kuelewa!

Hapa watu tumekaa ki_TANU yajenga nchi wakati watu wanamahela mengi nje ya nchi. Sisi tunaimba TANU yajenga nchi.
Waacheni walete hizo zitusaidie sisi watanzania kuliko kuziacha huko nje!

NN
 
The fact that has decided to invest in Tanzania, I think he should be credited for that. There are many Tanzanians who are going to be employed up there. If there is a contract between Nyumba ya Sanaa and his company, what is the problem? After all, he has not changed the use of the area only improved!

Hey, Tanzanians, let us encourage our own people to invest in Tanzania. It is for the benefit of all Tanzanians.

Do you want him to invest elsewhere?

anwekeza Tanzania au nje not an issue now.. swala ni uo utajiri wa kutisha kaupataje?? kama kawaibia watananzania lazima awajibike... kwanza huyu ni miongoni mwa mafisadi papa...dr.slaa alishawataja...so hakuna cha kushangaa:redfaces:
 
Kumbe mzee wa vijisent cha mtoto, mzee wa vijisentx70 equal to EL. Kwa kuwa amewekeza hapa na kodi zote analipia hapahapa sina tatizo ila ajitokeze kuchangia jamii kama Rg M
 
NilikuWa Geneva last time ...banker mmoja akaniambia namna watoto wa Mobuto...na hata serikali ya Zaire[congo] wanavyopata taabu ku claim pesa za baba yao....wa swiss wametuibia sana ...jaamaa aliniambia pesa zilizopo kwenye mabenki yao ambazo beneficiaries wanashindwa kuzi claim ni billions of usd.....beleave me....!!! nikamuuliza ..je kuna viongozi wa kitanzania waliokufa wakaacha pesa kwenye coffers zao ...aakacheka!!!...nikamkumbuka marehemu Amir Jamal......
WA Swiss ni wasiri sana ...lakini mlolongo wa kudai pesa pale kiongozi au mwenye pesa anapofariki ni mgumu sana....akaunti nyingi za siri hazina majina wala picha ,zina password ....na funny questions and answers.....na kila mwenye secret account anakuwa assigned secret banker wa kumtafuta wakati anapotaka kufanya transaction....beleave me mapesa ya kina sadam,king hussein,bokkasas...na wote mnaowajuwa yako huko....waliopinduliwa hawakuweza ku claim pesa zao......kuna viongozi wachache ambao pale walipoona afya zinakuwa mgogoro waliweza kuhamishia pesa kwenye aakaunti za watoto wao au kuwapa access....lakini wengi wameliwa jamani!!!
Ndio maana viongozi wajanja kama kina Moi,jaramogi,kenyatta etc wakaona huu ni ujinga....wakawekeza pesa zao zote ....Kenya.......
Nawahakikishieni watanzania value ya corruption tangu uhuru ingetumika kama stimulus kwenye nchi yetu .....tungeona maajabu kabisa.....siongei haya kwa kuwa naunga mkono UFISADI....bali naongea hali halisi...wazee!!!
Jiulizeni pesa za EPA tumefaidika nini ? hazijarudi....kama ilivyoahiwa na yale majizi yamezikimbizia DUBAI ,,,...kununua majumba....tumefaidika nini??..

Maoni kama haya yananifanya niamini bila shaka yeyote kuwa SISI WAAFRIKA NI SAWA NA KIMA!!!
 
Bado issue ya NYUMBA ya SANAA ni tata mno.
nakumbuka niliwahi kusikia jina lake 2003 kuwa anahusika na kutaka lile eneo ndo maana Sr. Jean alikuwa anapata wakati mgumu sana kufuatilia suala lake pale ikulu enzi za mkapa (rais pekee baada ya nyerere anayeifahamu NYS kwa undani sana).

Lowasa ana nguvu na inaonesha hakuna rais anayeweza kumgusa. labda tuseme ana nguvu kubwa kwenye SYSTEM inayomweka madarakani rais.
Msisahau kwamba Lowasa na Kikwete wana hisa za 50/50 kwenye agreement yao fulani kabla kikwete hajawa rais. Hivyo nina mashaka sana kama hizi harakati za kumfikishia taarifa kwa utekelezaji zitafanikiwa kwani naye atakuwa mfaidika. Sijasikia popote kwamba waliacha ule ushirikiano wao. EL anaposema kwamba sikukutana na Kikwete barabarani ujue ni ujumbe mzito sana.

Na kwa sababu Kikwete yupo ikulu hivyo ni rahisi kuendorse au kuruhusu harakato zozote za kumilikisha sehemu iliyokuwa kiwanja cha ikulu kwa kukipatia offer na uwekezaji ukafanyika.
Kama tunahitaji maghorofa ndo iwe kipimo cha maendeleo... inabidi akili zetu zikachunguzwe.
 
Kweli wadanganyika tuna kazi.

Lowassa et al. (Chenge, nk) pesa wanazo tayari na ziko nje ya nchi. Swali tunalotaka kujiuliza tuzirudisheje? Phillemon Mikael anajaribu kwa kadri ya uwezo kuelimisha faida ya hili swala watu hatuelewi.

Nenda Kenya, kuna makampuni Mengi mpaka mabenki yanamilikiwa na familia ya Kenyata. Hebu Jiulize unafikiri Tanzania viongozi wetu hawana hela za kutosha kuleta nchini? Ni matajiri sana hawa!!!!!!

Mambo yale yale, hala la EPA zilikuwa zinasuasua BOT mpaka wajanja wakaamua kuzichota hali hatuna mashule, mahospitali, nk; Ni sawa kabisa na hili waacheni wazilete hela kwani inaelekea zipo nyingi tu huko nje zimekaa tu. Wakifa hawa zitabaki huko huko!

Watanzania tuamke tuache unafiki, huu umetufikisha hapa tulipo.

Ahasante!

Siungi mkono hoja.

kama kuna mtu ako na pesa nje na government wanajua, bora aende jela kwanza.

kukubali ati warudishe bila kuwashitaki kutafanya wengine wenye nia ya kufanya hivyo waibe na kupeleka pesa abroad kwani wanajua hata wakifanya hivyo hakuna hatua wanachukuliwa.

watasema 'tutarudisha'

hoja yako nyepesi sana.
 
Kumbe mzee wa vijisent cha mtoto, mzee wa vijisentx70 equal to EL. Kwa kuwa amewekeza hapa na kodi zote analipia hapahapa sina tatizo ila ajitokeze kuchangia jamii kama Rg M
kwa hiyo mwizi akikuibia fedha zako za mauzo za nusu mwaka halafu akajitokeza na ukamtambua ila akawa ananunua mahitaji yake dukani kwako kwa kutumia hela zako alizokuibia hutakuwa na tatizo naye???
fikiria waliokosa huduma muhimu na kupoteza maisha na matumaini kwa kukosekana funds zilizotengwa kwenye bajeti na zikaibiwa na wachache.....
think again nadhani utakuja na wazo la maana zaidi mkuu
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom