Lowassa kutumia mbinu zilizompa ushindi Uhuru Kenyatta

kuna tofauti kubwa kati ya uchaguzi wa kenya na Tanzania, uhuru hatasingepiga kampeni angelishinda kwa sababu ya kabila lake la kikuyu na kabila la vice wake kalenjini. Na sioni tija ya kila mara kulinganisha chaguzi za Kenya na Tz.
 
Hahaa ndo mjia pekee ya kuepuka presha na kuanguka jukwaani,hawezi kurusha mawe wakati yuko kwenye nyumba ya vioo na huo sio utaratibu wa Chadema tunaoufahamu.Mmefungwa midomo na Lowassa na ndo maana havai hata uniform yenu.Huyo ni B-CCM na mtafuata utaratibu wake.:biggrin1::mod::mvutaji:
 
hivi mnajua buhari rais wa sasa wa nigeria alishinda kwa hoja mbili tu.. boko haram na ajira kwa vijana?? sasa sisi watz tuna sababu lukuki za kuiambia ccm ipumzike.!!
 
Kama ni tajiri na hamjui, jibu ni kuiondoa serikali isiyojua kusimamia majukumu yake na kuingiza itakayo weza bana na minya mianya yote ya aina hiyo full stop. Kwa hiyo serikali ya CCm inatuambia haijui hata utajiri wa watu wa nchi hii, haijui tembo wanauwawaje, haijui dawa za kurevya zinapitaje airport, hata haijui kwa nini sisi ni maskini! Haifai kabisa
 
Lowasa ni mgonjwa na ni mzee tofauti na Uhuru Kenyatta ambaye ana afya njema na ni kijana

Magufuli alikumywa kikombe cha babu anasumbuliwa na magonjwa sugu, uhuru kijana kwani anamiaka mingap? Unataka kutuaminisha kwamba magufuli ni kijana?
 
Mo na Rostam ni wafanya biashara na background yao inajulikana ni wafanya biashara pa se.Lowasa tangu amemaliza chuo kikuu aliingia Serikalini mpaka alipohamia Ukawa,sasa ametoa wapi hizo pesa Mamilioni kwa Mabilioni aliyoanza kuyagawa kwa jina la harambeee kitu ambacho hata Mengi hawezi kufanya kutoa Mil 400,bil 1na kuendelea.Aseme utajiri wake unatokana na Biashara gani na anaifanya saa ngapi wakati yuko serikalini kama si haramu?
 
Magufuli anaweza akawa ni mtendaji mzuri; sawa... Lakini hakujiandaa kuwa Rais...
Anaweza akawa mwenye maamuzi ya ghafla lakini mfumo wa chama chake umechoka na haufai kuwepo kuwepo mara baada ya uchaguzi Mkuu...
CCM wanaweza wakamchafua Lowassa lakini waliyoyafanya baada ya Lowassa kung'oka ni mengi na ya hasara zaidi kuliko Richmond ambayo "ilishinikiwa na mamlaka ya juu"...

Magufuli ataku
 
Hakuna kabila kubwa lenye ushawishi kenya kama wajaruo nawajaua na Kenya mi nimesoma huko
Sema wananchi walikuwa tayari wamegair kama sisi hapa tz
Ccm tumegair
Odinga aliwasaliti wakenya Kwa kujifungangia na upande mmoja wa wananchi hivyo kuleta sintofahamu na ingeweza kuleta uoendeleo Kwa baadhi ya wananchi
 
Hana numbers, msidanganyike na mikutano, kwenye mikutano hawazidi 10000 wakati wapiga kura wako 28 M

kwa hiyo ninyi ccm mnapataga watu wote 28 m? mbona mnazidi kujichanganya mana kikwete kasema picha za kompyuta,wew unasema walikuwa 10000 tu. na mwaka huu hadi nesi avunjie sindano kwenye vinundu vya nyuma yenu huko!
 
hahaa ndo mjia pekee ya kuepuka presha na kuanguka jukwaani,hawezi kurusha mawe wakati yuko kwenye nyumba ya vioo na huo sio utaratibu wa chadema tunaoufahamu.mmefungwa midomo na lowassa na ndo maana havai hata uniform yenu.huyo ni b-ccm na mtafuata utaratibu wake.:biggrin1::mod::mvutaji:

sawa mbona nyerere alishawahi kuvaa kijani na njano... Akili za panya hzo kula sumu kwenye nyanya na hadi mtage mayai ya buibui mwaka huu
 
Lowasa ni mgonjwa na ni mzee tofauti na Uhuru Kenyatta ambaye ana afya njema na ni kijana

Mbona wapo tulio wachagua huku wakiwa wanaanguka ule ugonjwa sijui mnauita nini vile. Tena walianguka na kila mTanzania alishuhudia. Na bado tuliwapa madaraka!!!? Mbona wapo mitume au manabii wafu na bado tunaendelea kuwa sujudu kwa imani zetu!!

Acha tuongozwe na wagonjwa maana hao ambao wewe unadhani ni wazima kwa miongo yote tulio wapa dhamana ya kutuongoza wametufikisha hapa tulipo. Ambapo kila mtanzania ambaye si wa huo ukoo ana kilio cha umasikini kama sio ufukara.
 
kuna tofauti kubwa kati ya uchaguzi wa kenya na Tanzania, uhuru hatasingepiga kampeni angelishinda kwa sababu ya kabila lake la kikuyu na kabila la vice wake kalenjini. Na sioni tija ya kila mara kulinganisha chaguzi za Kenya na Tz.

Wacha kusema uwongo wewe, mbona alipoteuliwa na Moi kuipeperusha KANU hakushinda, alikuwa so Mkikuyu wakati ule?
 
Back
Top Bottom