Lowassa kutikisa Dar Jumapili hii

Status
Not open for further replies.
Ni mpuuzi tu ndiye anayeweza kwenda kumsikiliza huyo mwizi akaacha kwenda jangwani kupata neno la ukombozi!!!! pamoja daima!!!!

we ndiye mpuuzi unapelekwa pelekwa na upepo sabu ya hyo gongo mnayokunywa
 
Hivi kwann watu wenye akili hamjiulizi kuhusu huyu lowasa? Hivi nani anafikiri akipata urais ataacha ufisadi? Hiki ni kizazi cha panya, kwahiyo ufisadi wake ndio atazidi kuuendeleza, mmemsikia mzee malecela alivyomponda? Nyie acheni ajisumbue lkn urais hapati, nawakilisha.
 
Umelaaniwa kumfananisha fisadi na mporaji huyu na Mwana wa mungu! Acheni mungu autwe mungu na mwizi aitwe mwizi.

tatzo huwa mnalia lia tu mkiambiwa mlete ushaidi wa wa huu upumbavu mnao andka mnaishia kutukana tu hamna hoja
 
wanamuonea lowassa kwasababu ni wa kaskazini






Ni kweli mkuu; hata mimi nilishaliona hili...Kuna wakati UVCCM Mkoa wa Pwani waliwahi kusema kuwa mgombea wa CCM 2015 hawezi kutoka Kaskazini....Kwa hiyo kikubwa hapa ni kwamba Lowassa anapigwa vita kwa kuwa tu ni wa kaskazini, maana hata hawasemi kosa lake...Madai ya kuwa anagawa misaada hayana mashiko,maana hata membe na Sitta wanafanya hayo
 
Last edited by a moderator:

Lowasa na Richmond ni kama maji na Udongo
 
Lowasa hawezi kujibishana kwasababu anaogopa watamvua nguo akabaki uchi, amefanya madhambi mengi akiwa waziri mkuu.Kiongozi yeyote ambae amethibitika kuchukua Rushwa na ikabidi ajiuzuru, hafai kuwa kiongozi tena. Hayo anayofanya ni kwasababu ya kununua kura na daktari hatakiwi kujitangaza watu watamjua tu kwa vitendo vyake kwa hilo yeye ameshafeli alipokua waziri mkuu.
 





NDUGU yangu unajidanganya LOWASSA fisadi wa kutupa hawezi kuwa Rais kupitia CCM labda Chadema wamechukue kama wanataka mafisadi ndio waongoze nchi.Fisadi kushika bendera ya CCM mwiko.Hizo pesa alizoiba akiwa Waziri Mkuu azipeleke chama kingine akapate urais huko siyo CCM. Kwa ufisadi wa Lowassa wana CCM tunapata mashaka kwamba tukimpa urais anaweza akauza hata ikulu pesa apeleke kwa wamasai wake.
 

acha wivuuuuu,subirini haya mapigo,chadema fanyen sala muombe el asipitishwe kugombea na chama chake,ili mpite kirahisi,ila lakin msije mkaomba awe mgombea kwa chama chake,mtakiona cha motooo
 
Ni mpuuzi tu ndiye anayeweza kwenda kumsikiliza huyo mwizi akaacha kwenda jangwani kupata neno la ukombozi!!!! pamoja daima!!!!

duh magwanda kwa kujifariji neno la ukombozi linapatikana kwenu kweli wazee wa maopareshen,makongamano km kina mama na vicoba
 
kwenye richmond alibeba msalaba kuwanusuru vigogo fulani2...ndo maana wakati fulani walipotaka kuiendeleza sana hiyo ishu wana-ccm wenzake na wanafiki akawaambia - "mkimwaga ugali nitamwaga mboga" kwa maana kwamba ataweka wazi kilichojiri...tangia hapo kelele zikaisha, kimyaaaa hadi leo.
 

hapo chacha!!!!!!!! huyu jamaa kampeni meneja wake ana akili sana, si ajabu kambi yao ilimuweka JK madarakani, wako very smart..yaani kapiga kimyaaaaaaa, yeye ni vitendo tu, hao wapinzani wake sasa ndio wnaongea, hadi tumewachoka..sisi tunataka vitendo bana, sio umbea
 
Lowassa ni jabali la kaskazini ndani ya CCM hamna mwana CCM yeyote anayeweza kumgusa hata mwenyekiti wa Chama hathubutu kabisa kumyooshea mkono huyu mwamba. Endapo CCM watajaribu kumgusa kama walivyofanya CDM kwa Zitto itafutika kabisa kwenye uso wa dunia. Chochea kuni CC Ritz
 
Last edited by a moderator:
He was one of the people who were being feared since the first Jk nyerere, he was too ambitious to handle, I can't say he is clean or otherwise, what's important in politics is whether people accept u for who ur or not, apart from undergoing into political shame he still came out and show his fight, this spirit is huge, one thing my people, lets pray we don't make another mistake next year
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…