Lowassa kutikisa Dar Jumapili hii

Lowassa kutikisa Dar Jumapili hii

Status
Not open for further replies.

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
437
wadau!!
Ni waz sasa lowassa hakamitki,katika kile kinachoonekana kwamba mh lowassa ni moto wa kuotea mbali,juma pili hii atafnya harambee ya aina yake ili kuwawezesha waendesha boda kila mmoja kumiliki boda boda,ni jana tu mahasimu wa lowassa wamekuwa wakimshambulia,ila lowassa ameamuwa kupiga kimya anafnya kwa vitendo,

Makonda juzi alitumika na membe na sitta kuja kumshambulia mh lowassa,lakin kutokana na busara za lowassa hakutaka kujibizna naye kwasabu cyo saiz yake.namshauri makonda amesha washa moto kwasabu hao wenyew walio mtuma wanaujuwa moto wa lowassa na ndio mana wao wamemuweka front makonda wasikilizie kinacho endelea,

Lowassa mwaka huu atawaonyesha subir moto zaid unakuja
 
Kwahiyo amejificha mpaka M4C-OPD ikamilike ndo haanze kugawa hizo pesa haram?
 
Lowassa kiboko yake Sumaye 2015

Team Lowassa jipelekeni kwa Sumaye kabla hapajaharibika zaidi
 
mimi ninampenda tu coz ajibizani majukwaani, wala hamtukani mtu, huyu mtu sijawahi msikia hata akitamka Mboye, Dr. Silaa wala akitamka neno CHADEMA, MUCH RESPECT. ANA SIASA NZURI SANA ZA KUTOCHAFUA WENZAKE, UMAARUFU WAKE NI VITENDO

ASUME ASINGEKUWA NA KASHFA YA RICHMOND, NANI ANGEMKAMATA HAPA TZ
 
mimi ni ninampenda tu coz ajibizani majukwaani, wala hamtukani mtu, huyu mtu sijawahi msikia hata akitamka Mboye, Dr. Silaa wala akitamka neno CHADEMA, MUCH RESPECT. ANA SIASA NZURI SANA ZA KUTOCHAFUA WENZAKE, UMAARUFU WAKE NI VITENDO

mkuu kababu,ungekuwa karibu ningekununulia kilauri,umesema ukweli mtupuuuuuuuu,sihitaji kuongezeeea
 
mimi ninampenda tu coz ajibizani majukwaani, wala hamtukani mtu, huyu mtu sijawahi msikia hata akitamka Mboye, Dr. Silaa wala akitamka neno CHADEMA, MUCH RESPECT. ANA SIASA NZURI SANA ZA KUTOCHAFUA WENZAKE, UMAARUFU WAKE NI VITENDO

ASUME ASINGEKUWA NA KASHFA YA RICHMOND, NANI ANGEMKAMATA HAPA TZ

lugha za watu hz jamani! lugha imekuja kwa meli hii!
 
May God, naanza kupata woga juu ya Lowassa.
Hv itawezekana watu mara hii wamesahau madhambi ya Lowassa, na wanaendelea kulitajataja jina lake kwa presidency?
Tumekwisha.

tulia acha woga utibiwe!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom