Kwanza sasa hivi watu wamazingila walitakiwa wamshitaki.kwenye mikutano yake anachafua mazingila kwa kujinyea kama mtoto mdogo.asubiliwe mahakani ya mafisadi makufuli awafunge hayo maJizi
Lowasa kushitakiwa ni sawa hata yeye mwenyewe alishatoa go ahead, mwenye ushahidi apelike mahakamani. Hata hivyo itatubidi tuandae oradha ya watu watakao shitakiwa pamoja nae. Hebu tuanze kuwataja mmoja baada ya mwingine .