Lowassa kustaafu siasa

Status
Not open for further replies.

Mahakama itachukua mkondo wake, mzee atafungwa.
 

So what!!, je kama italeta upinzani mkali, unapendekeza nini na ipi tamaa yako.
 

Kuachiwa chama na Mtei asahau.
 
Kwanza sasa hivi watu wamazingila walitakiwa wamshitaki.kwenye mikutano yake anachafua mazingila kwa kujinyea kama mtoto mdogo.asubiliwe mahakani ya mafisadi makufuli awafunge hayo maJizi
 
mahakama ya mafisadi inakuja jipangeni na huyo fisadi wenu.
CCM walishakubaliana kutolitamka neno FISADI tena kwenye kampeni zao kwakuwa linamuongezea Lowassa umaarufu na ushahidi wa hayo makubaliano anao Mwigulu Nchemba!
 
Huyo mzee angelikuwa anajitambua angestafu siasa mapema hata kabla ya uchaguzi maana atajiaibisha sana
 
Kwani mimi ndoo nimesema? Mimi nimemunukuu mwenyekiti wa geita msukuma.ndoo aliyasema hayo geita kwenye mikutano wa makufuli
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…