PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,455
Taarifa inatolewa kwa vyombo vya habari, wanachama, wafuasi, wapenzi, mashabiki wa CHADEMA na umma wa Watanzania kwa ujumla kuwa baada ya hatua ya kuchukua fomu ya kuwania uteuzi wa ndani ya chama kugombea nafasi ya urais,
Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa kesho Agosti 1, 2015 atarejesha fomu yake kwa ajili ya taratibu zingine za ndani ya
Shughuli hiyo itafanyika kuanzia saa 9.00 jioni, ambapo mgombea atakabidhi fomu yake Ofisi ya Katibu Mkuu, Makao Makuu ya Chama, Kinondoni, jijini Dar es Salaam katika hadhara ikayohudhuriwa na viongozi wa chama, wanachama, wafuasi, wapenzi na mashabiki wa CHADEMA kutoka sehemu mbalimbali.
Mheshimiwa Lowassa atarejesha fomu hiyo akiwa mgombea pekee baada ya kuwa ametimiza taratibu za kikatiba hususan kupata wadhamini kutoka mikoa mbalimbali nchi
Hatua hiyo ya kurejesha fomu itafuatiwa na taratibu zingine za kikatiba, ikiwa ni pamoja na vikao vya uteuzi ambavyo vitaketi kwa mujibu wa ratiba ambayo imeshapangwa na chama.
Makene