Nyerererist
JF-Expert Member
- Oct 1, 2007
- 438
- 6
kweli hiyo ni ndoto ya mchana hawezi kuhama chama maana hata yeye anajua kitachomtokea..... lakini tetesi hizi kama niza kweli basi achukue experience kwa Mrema kwanza kabla hajaendelea
Kuna tetesi zimeenea kwamba Mh E Lowassa asipo pewa channel ya madaraka tena huenda akajitoa CCM na kujizatiti kwa ajili ya 2010 au 2015...leteni habari zaidi
Hana ujanja wa kukimbia ccm watabanana hapohapo mpaka kieleweke,unafikiri hajui yaliyowakuta waliotangulia.sisi tumjadili kwa ufisadi wake ili hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yake na wale wote walihusika ktk kufanya maisha yetu yazidikuwa magumu.
Kuna tetesi zimeenea kwamba Mh E Lowassa asipo pewa channel ya madaraka tena huenda akajitoa CCM na kujizatiti kwa ajili ya 2010 au 2015...leteni habari zaidi
Nafikiri ni strategies zake za kujipandisha dau. Kwani anakumbuka bado usia wa Sumaye "Ukitaka mambo yako yanyooke lazima uwe ndani ya CCM..." na EL anajua hilo kuliko mtu mwingine yeyote yule. Mwache atoke atazitapika pesa zote alizokwiba kuanzia za AICC, mafuriko ya Lindi na Mtwara, Viwanja alivyouza pale ardhi, mgao wa City water, Mapesa ya TACAIDS,RICHMOND,EPA na makando kando yote aliyotumbukiza pua yake.
Truly.Uzi una miaka 17... the same shi.t goz on...
Na akasafishika haswaa.I have a feeling Chadema wanaweza kumkubali na kumsafisha..