Magamba povu linawatoka ile mbaya! Kwani ni uongo hawakutumwa watu kumtukana Lowassa?
Uzi uutoe wewe koments utoe wewe?kweli viwavi ni shidaLowassa bado anaendelea na usanii wake. Anajaribu kudanganya kwa nguvu!
Kusema aliondoka CCM kwa sababu ya kuitwa fisadi na gamba ni kuwafanya watanzania kama wajinga!
Lowassa aliondoka CCM kwa sababu jina lake lilikatwa na kama lisingekatwa, leo hii angekuwa bado ni mwanachama hai wa CCM.
Hata hivyo nimpongeze Lowassa kwa kuwa na vision ambayo inachagizwa na fani yake ya usanii.
Baada ya kukatwa jina lake ndani ya CCM na ndoto zake za kuwa Rais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM zikayeyuka. Aliamua kupiga ndege wawili kwa kutumia jiwe moja.
Kwanza, aliamua kujiunga CHADEMA ili wamsafishe na kulitua zigo la kuitwa fisadi ambalo wao wenyewe CHADEMA walimtwika kwa zaidi ya miaka minane.
Pili, Kwa kulishusha zigo ambalo walimtwika, aliwapa pia Viongozi wa CHADEMA kazi ya kumnadi kwa Watanzania ili wamchague kuwa Rais wa Tanzania.
Kazi hiyo ya kumsafisha mpaka sasa wanaendelea nayo!
Naona hawa wadudu wamekudhuru siyo bure
....nikimfatilia lowassa toka akiwa mbunge mchachari, na wenziwe kina marehem sebastian kinyondo,steven nandonde,father msigalo, na wengine wengi...ni kiboko! nikiwa naongozwa na siasa za ki DP, ya miaka hiyo(mwanzoni na katikati ya 90s),nakumbuka alivyotufurahisha siku moja namna alivyokuwa akiushughulikia mgogoro wa mpaka wa kiwanja, maeneo ya makutano ya barabara ya bibi titi, na azikiwe,ukihusisha pande mbili za watanzania wa asili ya bara hindi....na hususan alipojibu kwa ukali shutuma zilizokuwa zimeelekezwa kwa wizara yake(wizara ya ardhi), kwamba wizara nzima imeoza kwa rushwa! ...Aliwaka!...na aliwajibu "waliotuhumu" kuwa ni siri iliyokuwa wazi kwamba wao, wahindi, ndio vinara wa rushwa,na kuwataka waache kuishushia hishma wizara yake tukufu, na kuwapa changamoto, aliewahi muhonga yeye waziri ajitokeze! Lkn ukweli una namna yake ya kuwafikia walengwa....kweli ya uozo ktk wizara zikihusika na ardhi siri tena, na uozo ulianza kipindi, ni jambo la wazi...."mshindwa namba moja" katika uchaguzi wa uraisi uliopita ni msanii aliotukuka ktk sanaa ya siasa(sisemi sayansi ya siasa)...na kwa kiasi kikubwa, alifanikiwa mno kuwapiga mabao ya kisigino,si wanamageuzi koko tu, bali pia waliokuwa wajumbe wa jumuia ya wazazi ya ccm, miaka hiyo,rais wa awamu ya pili,tatu,na nne, na wasaidizi wao wote serikalini na ktk chama.....na sasa anaendelea wapiga mabao ya visigino, very strange,vijana ktk mageuzi & wazee....! Walionufaika naye ktk siasa zaidi ni wafanyabiashara wakubwa,wakiongozwa na "muigunga 1"......kuna methali ya wazungu wa "wingereza" ikisema, "ukifa, lala!"..... yaliyomfika kisiasa, angeyafanyia tafakari akifanya rejea ktk kweli iliyomo kwenye methali hiyo.....vinginevyo atapewa hila mbaya, na mabaya ya kuaibisha,na kufedhehesha yamkute!Wakati akiongea na vyombo vya habari, Lowassa amesema aliondoka CCM na kujiunga na CHADEMA kwa sababu ya kusakamwa kwa maneno ya kejeli, vijembe na vitisho na kuitwa gamba na fisadi.
Lowassa alisema licha ya kuitumikia CCM kwa zaidi ya miaka 30 tangu mwaka 1977, chama hicho kiliamua kutumia watu kumsakama kwa kila aina ya maneno jambo ambalo lilimfanya pia achoke na kuamua kuondoka CCM.
‘’Ninakifahamu Chama cha Mapinduzi, ninakiheshimu kwani ndicho kilichonilea lakini kwa hali tuliyokuwa tumefikia, inafika mahali unasema imetosha,’’ Alisema Lowassa.
Alisema sababu nyingine iliyomfanya kuondoka CCM ni kutaka mabadiliko na aliamini mabadiliko ya kweli yatapatikana nje ya CCM.
Lowassa alidai kuwa kama si kura kuchakachuliwa alikuwa na nafasi kubwa ya kushinda kwa sababu wananchi walishaichoka CCM na wakawa wanataka mabadiliko.
Alisema ana marafiki ndani ya CCM ambao walimsaidia wakati wa Uchaguzi ambapo baadhi yao walitishwa na utawala na kuamua kujiweka kando kwa ajili ya usalama wao.
Alienda mbele zaidi na kusema, kwa namna yoyote ile kamwe hana mpango wa kurudi CCM na kudai jukumu lililopo mbele yake kwa sasa ni kuijenga CHADEMA ili ishike dola.
You have said it!....nikimfatilia lowassa toka akiwa mbunge mchachari, na wenziwe kina marehem sebastian kinyondo,steven nandonde,father msigalo, na wengine wengi...ni kiboko! nikiwa naongozwa na siasa za ki DP, ya miaka hiyo(mwanzoni na katikati ya 90s),nakumbuka alivyotufurahisha siku moja namna alivyokuwa akiushughulikia mgogoro wa mpaka wa kiwanja, maeneo ya makutano ya barabara ya bibi titi, na azikiwe,ukihusisha pande mbili za watanzania wa asili ya bara hindi....na hususan alipojibu kwa ukali shutuma zilizokuwa zimeelekezwa kwa wizara yake(wizara ya ardhi), kwamba wizara nzima imeoza kwa rushwa! ...Aliwaka!...na aliwajibu "waliotuhumu" kuwa ni siri iliyokuwa wazi kwamba wao, wahindi, ndio vinara wa rushwa,na kuwataka waache kuishushia hishma wizara yake tukufu, na kuwapa changamoto, aliewahi muhonga yeye waziri ajitokeze! Lkn ukweli una namna yake ya kuwafikia walengwa....kweli ya uozo ktk wizara zikihusika na ardhi siri tena, na uozo ulianza kipindi, ni jambo la wazi...."mshindwa namba moja" katika uchaguzi wa uraisi uliopita ni msanii aliotukuka ktk sanaa ya siasa(sisemi sayansi ya siasa)...na kwa kiasi kikubwa, alifanikiwa mno kuwapiga mabao ya kisigino,si wanamageuzi koko tu, bali pia waliokuwa wajumbe wa jumuia ya wazazi ya ccm, miaka hiyo,rais wa awamu ya pili,tatu,na nne, na wasaidizi wao wote serikalini na ktk chama.....na sasa anaendelea wapiga mabao ya visigino, very strange,vijana ktk mageuzi & wazee....! Walionufaika naye ktk siasa zaidi ni wafanyabiashara wakubwa,wakiongozwa na "muigunga 1"......kuna methali ya wazungu wa "wingereza" ikisema, "ukifa, lala!"..... yaliyomfika kisiasa, angeyafanyia tafakari akifanya rejea ktk kweli iliyomo kwenye methali hiyo.....vinginevyo atapewa hila mbaya, na mabaya ya kuaibisha,na kufedhehesha yamkute!
watu wanachukua fursa ktk siasa ile ile waliyoichukua CDM sasa zamu ya CCM. Halafu uzuri CCM siyo wanafiki kwa hili maana Nape na Polepole walikua wanamsema hata kabla hajahama CCM ila kina Lema Lisu na wenzake kasoro mzee Slaa walifyata mikia ya mbele Lowasa alipoingia CDM. CCM ilikua imeshajiozea na Upinzani ungechukua viti vingi sana lakini mtaji walioupata ulikua siyo mkubwa maana hata katika baadhi ya mikutano alijiombea mwenyewe na wenzake wa CCM. Kuna hotuba alisema Rais nichagueni mimi wabunge wachagueni wa ccm lakini sababu watu walikua busy kuzungusha mikono na kudeki barabara za vumbi masikio yao yalikuwa hayafanyi kazi, tofauti tu masikio ya watanzania wapiga kura walisikia na kumwelewa vizuri.naona lowasa amekuwa ajenda mpya ya ccm...ajabu kweli kweli!kwani kuna wengine mlisema kuwa baada ya uchaguzi lowasa atasahaulika katika siasa za tz!ajabu kweli kweli!ila ona sasa mnavyo mpaisha sasa hv...!kwa mtindo wa kulitajataja jina la lowasa kla siku...kuna uwezekano wa watz kumsahau?dah!kweli lowasa noma!
Chanzo cha taarifa?Mwanasiasa bora Africa na Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa amesema kusakamwa kwa maneno ya kejeli, vijembe kuitwa gamba na fisadi ndiko kulikomfanya kuihama CCM na kusema hana mpango wa kurejea huko badala yake ameanza kuisuka Chadema iweze kuchukua dola mwaka 2020.
Nadhani ulikuwa ni usanii kama ilivyo degree yake ya usanii!Na ule mpango wa kwenda monduli kuchunga mifugo yake umeishia wapi
Msimlishe maneno EL. Sababu ya kuondoka ccm ni kukatwa na kamati ya usalama na maadili katika kumpata mgombea urais wa ccm. Alisema mchakato mzima haukuwa wa haki, na kuwa ccm si baba wala mama yake. Hivyo baada ya mashauriano na familia yake na ....... ameamua kujiunga cdm. Mwenye clip atuwekee hapa tuweke mambo sawa. Tumjue mwongo EL au mleta post.
Mwanasiasa bora Africa na Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa amesema kusakamwa kwa maneno ya kejeli, vijembe kuitwa gamba na fisadi ndiko kulikomfanya kuihama CCM na kusema hana mpango wa kurejea huko badala yake atashiriki kuisuka Chadema iweze kuchukua dola mwaka 2020.[/QUOT
Wewe ni bwege sana. Lowassa awe mwanasiasa bora?? Hiyo 2020 itategemea Kama atasalimika ile mahakama yetu