Lowassa kuhutubia saa 3 usiku huu ITV

Ccm mwakahuu chaaali .sisi hatutaki polojopojo ukawa kazi mdundo kwendambe lowassa juuuu
 

Kama mimi binafsi hakuna mtu anaweza kunibadilisha. Sina haja ya kampeni tena, nilishaamua ni UKAWA. Kampeni sina haja nazo, ni wakati wa mabadiliko!
 
Yaani katika cku ambayo nimeumia na kujickia vibaya ni Leo ..chadema imetutia aibu wanachadema ..haiwezekan lowasa atuambie mda hautoshi na huku huku tukiona akina tambwe ,mrema na wengine wakizungumza kwa mda mwingi kuliko hata lowasa

Huyu mtu ni dhaifu, afya yake mgogoro msitake afe jukwaani. Muacheni mzee wa watu akapumzike, kwani lengo lake yeye si kushinda uchaguzi bali kuwa ktk historia kuwa aliwahi kugombea urais. Na sasa ameshaingia katika rekodi.
 
Mod mnazidi kuonyesha kununuliwa.Mbowe alitamka wazi jana kuwa watakuwepo uck ITV,sasa yalioyoandikwa hapo juu ni upotoshaji na mnaona poa
 
Alishindwa kusimama jangwani kwa saa moja ndo maana anakwenda ITV?
 
recorded from jangwani!!umesoma hapo kwenye corner upande wa kushoto imeandikwa recorded
 

Acheni hadaa...kwa ajili ya muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…