Lowassa ni fisadi asiyestahili kuliongoza Taifa letu, huyu mtu anayetaka kuhonga mabilioni ya pesa za kifisadi ili aingie Ikulu ni wa kuogopa kama ukoma.
Acha uzezeta wewe tuliza akili badala ya kupayuka kama mwendawazimu. Hukuona wala kusikia mabilioni aliyokuwa anagawa nyumba za ibada? Alipoulizwa pesa zile katoa wapi akadai ni za marafiki zake alipotakiwa atoe list ya hao rafiki zake waliomchangia pesa na kiasi alichochanga kila mmoja akashindwa kufanya hivyo. Hakupigwa stop na MACCM huyu kuhusu kugawa rushwa nyumba za ibada!? Tafakari kwa kina.
Lowassa siyo kioo bali ni giza totolo. ukitaka kujua Lowassa ni nani angalia walioko nyuma yake. Lowassa akiwa ikulu ni sawa kama umeweka fisi, sasa ukifuga fisi fisi huyo atatembelewa na nani kama siyo mafisi menzake, Lowassa hana maamuzi magumu bali ana maamuzi ya kukurupuka.
Fisadi
Tumaini la watanzania wengi n lowassa,hakuna zaid yake ata tukiangalia mapokez yake mikoa mbalimbal watu wanamuamin sana aiseee
Bak
Nafikiri ukitulia na ukaacha jazba utagundua kwamba unamwonea Lowassa bure. Je naomba nikulize swali.
1. Bajeti ya mgombea wa rais Tanzania inafaa iwe kiasi gani kwa ufahamu wako?
Hivi kama lowasa aliiba kwa nini akupelekwa mahakamani,yeye yupo juu ya sheria?Lowasa is our coming president,wananchi tunamkubali,viivaaa Lowasa viiivaaa
Inashtua sana kijana kama wewe kutoa maneno kama hayo, natumaini wote wanaongia JF wameenda shule. Uwezi kumshambulia mtu bila proof. Kubwabwaja maneno waachie waimba taarab, weka facts. Hii ndio safari ya matumaini.
BAK
Nimekuuliza hivyo kwani umesema anataka kutumia mabilioni kuupata Urais na jinsi ulivyojibu umeonyesha huna upeo wa expenditure ya presidential campaign.
Nikupe mfano tuu Raila Odinga in 2007 alitumia $65 million in his campaign na $85 in 2013 campaign. Kwa taarifa yako Raila ni mwanasiasa mjamaa na mchumi na baili sana.
Ninachojaribu kukwambia hapa ni kwamba watu wengi wanatishika wakisikia billions of shillings ni kwasababu wengi hamna uelewa wa gharama halisi za presidential campaigns hence ni rahisi sana kumuona mtangaza nia kwamba anatumia hela kununua watu.
Just try to think how much would it cost a candidate to carry out a proper presidential campaign and you'll find out Lowassa is far behind the bar.
LOWASSA FOR PRESIDENT. NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK.
Proof omba mkataba wa richmond au Muombe Mzee Sitta.Lowasa ni kibaka by Makongoro
huyu jambazi sugu amtawale nani?
Mbona Chenge hakupelekwa mahakani?Basi Chenge sio mwizi sio!Lowasa ni jambazi sugu na ni mgonjwa mahututi