TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,868
- 5,753
Vibonzo wakati mwingine vinamaanisha, hasa kwa kibaka mzoefu kama huyu ni kama utabiri.Ni vibonzo tu. Sidhani
Labda kutoka kwa vibaka wenzake.Kura zote kwa Lowassa jamani!
Kosa langu nini? Ina maana hata katuni za kuwafungua milango ya fahamu watanzania haziruhusiwi? Ni wakati sasa watu kuelemishwa kwa njia ya picha.Cyber law inakuhusu
Tumelitupa taka na tunachofanya ni kuzidi kulichimbia ardhini ili lisitoe uvundo.mbona wakati akiwa ccm mlikuwa hamnangih hivyo?. mmelitupa dodo cdm wameliokota roho yawaumia nini
Mbaya sasa wameunganisha nguvu wale wauza unga, wamezea mate vitalu vya gesi n.k, ni shiida.Tutabuluzwa na wafanya biashara
Ni kweli mkuu, ila hizi picha zinatupa kitu cha kujifunza.Kazi bado sidhan kama ana ubavu wa kuchukua nchi,maana kelele za chura hazimnyimi mwenye kisima kuteka maji
Mwnzoni tulikuwa wote huku CCM, leo umemfuata MALKIA WA MCHWA huko uchaggani, Oktoba unazikwa naye rasmi.Badala ya kumnadi MAGUFULI wenu mnabakia kumpigia "Promo" LOWASSA, ambaye tayari hana haja ya Kampeni, anasubiri mafuriko ya kura na kuapishwa! Sijui ni nani aliyewaloga!