Lowassa kaweka nchi rehani

Lowassa kaweka nchi rehani

Watanzania wengi sasa ni manabii. Wanauwezo wa kujua fulani atafanya nini huko mbele.
Lakini mbona unabii huu haujatusaidia kupata viongozi bora tangu Mwanzo?
 
Tunaona kama vibonzo, lakini vibonzo hivihivi tutakuja kuvikumbuka.
View attachment 277449

Stop talking nonsense. Lowassa has been out power for over eight years and the corruption rates and embezzlement incidents has been higher than ten years ago. In my opnion, Edward has always been made a scapegoats and always sacrificed while the real victims have always been protected. Even God knows.
 
Mwnzoni tulikuwa wote huku CCM,

Ina maana mpaka sasa dalili za kuondolewa kwa CCM hujaziona? Wananchi walishaamua LOWASSA ndiye awe kiongozi wao, so sikua na option nyingine zaidi ya kuungana na mamilioni ya watanzania waliosema, CCM sasa basi!!!!
 
Awe Fisadi,Mwizi, Dalali na mengine yote....kura yangu inamuhusu Lowassa.
 
ya kwamba ni fisadi au alisingiziwa hilo sitaki kujua.. Ninachojua huyo ndo kura yangu inaenda kwake✌✌
 
Kwikwikwikwikwiiiiii. Labda mataahira na misukule ndio watakaompa kura Lowasa

Hapa ndipo mnapoongeza kupigiwa kura za hasira. Mtawatambua hao watanzania mnaowatolea lugha za maudhi ni akina nani...! 25/10/2015 siyo mbali...wanazilinda wenyewe kura.
 
Masikini mzee makufuli ametelekezwa pekeyake aokoe mtumbwi unaozama!! Wana ccm wenzie woote wamehamia kwa Lowassa,siyo Lizaboni siyo Simiyu Yetu siyo Hot Lady wala @ mwanadiwani wote wapo bize na lowassa,@ Mwigulu nchemba naye kajitahidi kumuuza uza makofuli ila amekata naye tamaa,ameamua tu kulinda ugali wake huko iramba, makufuli ameingizwa chaka mwaka huu,pole yake mzee.
 
Last edited by a moderator:

Labda kama waTanzania hawajui maana ya neno REHANI. Kwamba mtu au taasisi fulani inaweka raslimali alizo nazo kwa mtu au taasisi nyingine kama dhamana ili apatiwe kitu fulani. Ni nani asiye jua kwamba mi-CCM imeweka rehani rasilimali zote rehani yakiwepo hata madaja ili kukoposhwa mikopo ambaoyo hata tija yake haionekani!

Danganyeni mazezete wenzenu lakini sio waTz walio ielewa UKAWA maana yake ni nini! Inapo fikia ofisi za serikali hazina hata wino na karatasi za chapa halafu una msingizia Lowasa eti kaiweka nchi reheani, lazima una tatizo la kuto kuushirikisha ubongo wako ili uweze kuwaza vizuri.

Naamini umerejea maneno ya yule Bondia wa Bunda alivyo bwatuka jana kwamba nchi itawekwa rehani akichaguliwa Lowasa. Kwamba amejisahau kwamba naye ni mmoja wa viongozi wa mi-CCM walio tufikisha kwenye huu msoto.
 
Ni safi saaana kwa kumfahamisha na kumwelimisha maana ya neno la rehani
 
huu uzi umeletwa na mbwa, tena mwenyekichaa; je wewe mbwa vipi mkapa wenu na mgodi wa GGM na miaka 100? na nchi ya uarabuni ndani ya hifadhi ya mbuga za wanyama? vipi epa? kiwira? na buzwagi ya baba riz? mgodi wa nyamhongo? ndo maana nimesema ni mbwa ndo kaweka hizo catoon za kutengeneza: skia wewe kura zote ni kwa EL hatutabadilika hata usemeje; ukiona vipi kajinyonge ufe
 
Back
Top Bottom