Lowassa katika mtihani mzito, kashfa ya Richmond kufufuliwa upya

IMANI WALIKUWA NAYO WATANZANIA KWA LOWASSA.....hakuna wa kutudanganya.....Lowassa ndio rais, bado kuapishwa.........ccm stop talking about lowassa......
 
Kwikwikwikwikwikwikwikiiiiiiii! Akina Mwakyembe watamuua mzee wa watu. Nasikia leo alidondoka nyumbani kwake baada ya kusikia kuwa akina Mwakyembe wamemuandalia nondo za kummaliza. Vimemo alivyokuwa anaandika kuwekwa hadharani
Tumeshajua ukweli kuhusu richmond kikwete ndio atatuambia amepeleka wapi hizo pesa.
 
Mwakyembe hawezi kusimama kumshambulia lowassa kwa sasa kwani kilichomtoa wizara ys uchukuzi kwenda afrika mashariki ni ufisadi wa kununua engine na mabehewa feki yanayoanguka kila uchao. Athubutu kumshambulia lowassa aone wataamka hata waliolala
 
Una laana wewe, na wewe hicho ulichoandika hapo ndio pekee kilichopo kwenye kaubongo kako? Khaaa!

ujue i had to revisit some of my comments in here but i didnt find myself quoting any of your posts anywhere,,, so punguza basi kuwashwa washwa chalii haipendezi kwa mwanaume kuwa hivo waachie mabinti bana
 
Kwa hiyo unataka Ikulu ianze kujibizana na mtu aliyekosa hoja? Ana vielelezo gani kuthibitisha hayo aliyosema? Miaka nane ameitumia kutunga jinsi ya kujinasua na Richmond lakini kashindwa

chama chake kilichukua uamuzi gani kilipombaini ni fisadi
 
Back
Top Bottom