Lowassa kapita dirishani kwangu

magufuri akipita kwetu tunamwuitia mwizi na kumpopoa mawe? alikuwa analala Mabibo hostel kwa hawara
 

Safi kabisa mkuu huyo ndiye rais wetu
 
Nyie wapumbavu na Malofa mtaendelea kuwa vipofu. Ndo maana mnaendelea kudanganywa na akina Mbowe

We inakuuma nini,kipendacho roho...... Watu washaamua u can't change their mind tena kwa kuwaita wapumbavu na malofa,subiri October ndo utajua Tanzania ni ya wote sio ya ccm tu
 
Tapeli hilo mngelikamata mkalipeleka polisi akajibu mashtaka ya ufisadi alioufanya. Hivi sasa anataka kuja kwa style nyingine ili atupumbaze, halafu achote mabilioni apeleke anapopajua. Wizi mtupu
 

Zumbukuku kesha changanyikiwa kesho atapanda mashua ferry jiandaeni kusikilizwa kero zenu
 
Mfungulie mlango kabisa. Anatafuta shida zenu malofa na wapumbavu.

Ccm mnacho weza kwa sasa ni matusi tu,endeleeni kutukana maana hata jana tumeyashuhudia kutoka kwa viongozi wenu
 
Safi kabisa mkuu huyo ndiye rais wetu

Anakumbuka shuka wakati kumeshakucha. Miaka yote amekaa serikalini mbona hajawahi kufanya hivyo. Sahizi kuna nini hasa cha ajabu. Kwanza kaenda kutafiti kuhusu nini kisichojulikana. Angalieni uchizi unaanzaga hivyo hivyo
 
Na bado atapanda mpaka bajaji mwaka huu lakini urais no.mwende mkachunge nae ng'ombe zake kule ranchi ya taifa mzeri Tanga aliyojimilikisha kama mnampenda Sana.
 
Et Anataka Kujua Matatizo Yaliyosababishwa Na Ccm,huyu?Miaka 20 Yote Hakuwah Kuyauliza Alivokua Ccm Leo Anajfanya Mwema?
 
Anakumbuka shuka wakati kumeshakucha. Miaka yote amekaa serikalini mbona hajawahi kufanya hivyo. Sahizi kuna nini hasa cha ajabu. Kwanza kaenda kutafiti kuhusu nini kisichojulikana. Angalieni uchizi unaanzaga hivyo hivyo

Alikuwa kwenye chama chenye kuwabagua wananchi ccm,sasa hivi yupo kwenye chama chenye kuwajali wananchi wake hivyo basi yuko huru kuonyesha moyo wake mzuri,lowasa ni rais wa watanzania
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…