Lowassa kapita dirishani kwangu

Hizo njie za kizamani sana. Alitumia Odinga hakufanikiwa. Alitumia Kiiza Besigye hakufanikiwa. Alitumia Morgan Tsvangirai hakufanikiwa
 
Sidhani kama haya maigizo yanampandisha Lowassa.
 
Magufuli kila anapopita hawezi kuzomewa. Hata huyo fisadi wako kapita kwenye barabara zilizojengwa na Magufuli

Weeeee,kwani magufuli katumia hata senti tano kujenga hizo barabara,ni kodi za wananchi ndo zinatumika,na analipwa na watanzania,after all ni wajibu wake kama watumishi wengine wa umma!!
 

Mkuu hongera sana kwa kupata bahati ya mtende angalau kumuona rais mpendwa wa watanzania
 
hizo njie za kizamani sana. Alitumia odinga hakufanikiwa. Alitumia kiiza besigye hakufanikiwa. Alitumia morgan tsvangirai hakufanikiwa

lowasa ndo atawaonyesha wote ulowataja hapo juu ni wapi walikosea na hakika watakuja kujifunza kwa lowasa.
Maana ushindi kwa lowasa hauepukiki.
Mimi na wewe tunalijua maana mimi na wewe pia tunajua fika goli la mkono this time halitawezekana.
 
Alikuwa wapi siku zote?

Maguful jana alisema atajenga viwanda alikuwa wapi mda wote? vipi wale majangili wa samaki yale mabilion na meli yao mmeshailipa? magufuli ni mkurupukaji hodari kalingzia hli taifa hasara sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…