Lowassa kakosea, why now?

Lowassa ni MTU makini .Kwani lowassa ndio kaona miujiza kukutana Na Mh.Rais?
 
Yaan we unajidanganya Lowasa atavunjwa kiuno..?
Unajidanganya Lowasa, Sumaye au Kingunge anaweza kuwa mstari wa mbele kwenye maandamano kama ilivyokuwa kwa Dr. Slaa..?
 
Mkuu hujielewi ngoja siku nyoka aingie sebuleni kwako halaf ukae kwenye kochi wakati mwanao anatambaa kuelekea nyoka alipo ndio utaelewa nyoka anauwawa au anachekewa
Mbowe alikuwa mahakamani au gerezani alipo Lema?

Wakati wa kukaribia kampeni mwaka jana J.P. Magufuli alienda hai kuzindua barabara na Mbowe alimpokea na kumpongeza sana.

Unalizungumziaje hilo?
 
Elim elimu elimu
 
Siasa sio vita. Mwanachama wa yangu kumkombatia mwanachama wa simba ni kawaida.
Mna akili za ajabu sana
Mlipotangaza vita na Tulia ilikuaje
Waraka unaokataza mameya wa ukawa kushiriki shughuli za serikali upo wapi
Kubalini tu Lowassa amekiuka miiko yenu
 
Mna akili za ajabu sana
Mlipotangaza vita na Tulia ilikuaje
Waraka unaokataza mameya wa ukawa kushiriki shughuli za serikali upo wapi
Kubalini tu Lowassa amekiuka miiko yenu


Miiko yetu unaijua vizuri kulipo wenye miiko?

Hiyoo imekuuma mliekuwa mnamuita visadi anakombatiwa na mropokaji wenu bila hiana mropokaji kashindwa kuficha furaha yake.
 
Aisee nyie mnaifanya siasa kuwa ngumu sasa hata kama atawanunia ndio itasaidia kuwafutia hizo kesi?
 
Hata mimi nakuunga mkono mkuu inabidi sasa siasa zitoke kuwa za mistuni na ziwe za kiraiani haiwezeskani ukawanunia watu tena kwenye sherehe za watu
 
siasa si chuki,acha watu wapige hela nyie mkaandamane tu watengue viuno hivyo ili msizaliane kutuletea manyumbu matupu kichwani kama wewe.
 
Pamoja na yote yanayoendelea, sikuona kams Lowassa alionyesha bashasha yoyote, na hata kama angeonyesha singeona tatizo lolote. Kwa mini? Ule haukuwa muktadha wa kisiasa, bali wa kidini. Halafu hilo ni jambo la kawaida kwa mtu aliyekomaa kisiasa. Hata kwenye mpira tunaona watu wanapigwa 5-0 lakini mwishoni watashikana mikono na ku-hug. Umewahi kutafakari maana yake?
 
Kuna mambo CDM wanamlazimisha Lowassa awaunge mkono ingawa yeye hataki. Na mojawapo ni hili la September mosi. Mbowe anasema September 1 maandamano yako palepale, Lowassa anataka mazungumzo baina ya pande mbili hasimu kabla ya September 1.
 
wewe baki hapo hapo mwenzio anajua anachofanya nenda katafute mkwanja
 
Timing was not right! Hii imepunguza kabisa joto la ukuta na morale, hivyo watawala wamepata afueni sana na hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…