Lowassa, Jeshi lakununua halitakufikisha mzee wetu!

Lowassa, Jeshi lakununua halitakufikisha mzee wetu!

aminangalo

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
974
Reaction score
190
Waziri mkuu aliyeachia ngazi baada ya kashifa mbaya ya richimond Lowasa bilaa kufafanua leo amesema kuwa aombewe kwenye safari yake aliyoanza

Maswali niliyyojiuza kwani Lowasa anafanya hivi

Unaandasherehe unatuma nauli kwa wahudhuriaji

Unachinja ng'ombe hamsini na mbuzi nyingi ili iweje ?

Kubwa sana kwanini utoe nauli kwa wahudhuriaji kama kweli wanakupenda wangekuja kwa hela zao wenyewe

Lowasa jeshi la kununua halifai wangekuja kwakupenda wenyewe ingekuwa sawa
 
Safari ya matumaini ni safari ya kuwaleta watu kwa Yesu Kristo kwa matumaini ya kuupata uzima wa milele.
 
Namuonea huruma mzee huyu, na hasa ukizingatiwa kwamba tetesi zinasema MEmbe camilius ni next PM come 6januari
 
Nachokijua lowasa huku site hana chake mwache aendelee kuwarudshia hela zao alizo waibia kupitia makapuni feki kama ...
 
Bora katangaza mapema hakika kibaya chajitembeza,Amuongoze nani huyu chizi?
 
Ushauri wa Bure kwa ndugu yangu Kama kweli kaftan ya hivyo ni bora aelewe kuwa ideological attachment is always stronger and last longer than Financial attachment
 
Alafu Chunguza kunahawa wasanii wa Bongo fleva na tasnia zingine wananunuliwa na Kwa kuhongwa Pesa ili apate support kwenye media Na kwingineko so huyu mtu Sio mtu mwema kabisa..!!
Anaweza kutuuzia hii nchi kama tusipokuwa makini nae..!!
 
Tangu 2008 aliweka nia akianzia makanisani akiitwa Edward na kumalizia kwa Waislam akiitwa Abdallah, sijajua nia ya huyu mzee. Sijui kama tutafika akiingia Ikulu.
 
Waziri mkuu aliyeachia ngazi baada ya kashifa mbaya ya richimond Lowasa bilaa kufafanua leo amesema kuwa aombewe kwenye safari yake aliyoanza

Maswali niliyyojiuza kwani Lowasa anafanya hivi

Unaandasherehe unatuma nauli kwa wahudhuriaji

Unachinja ng'ombe hamsini na mbuzi nyingi ili iweje ?

Kubwa sana kwanini utoe nauli kwa wahudhuriaji kama kweli wanakupenda wangekuja kwa hela zao wenyewe

Lowasa jeshi la kununua halifai wangekuja kwakupenda wenyewe ingekuwa sawa

kama sikosei muhusika haswa wa Richmond ni mzee wa kaya mwenyewe. Nakumbuka EL aliwakilisha hoja hii CC ya NEC kwa kueleza Richmond ilivyokuwa na alivyowasiliana na mzee wa kaya akiikataa ricmond mzee wa kaya akasema alishawasiliana na katibu mkuu hivyo EL asihofu aendeleze mchakato. Japo simuungi mkono E.L. kini kwa richmondi muhusika ni baba Ritz1.
 
Waziri mkuu aliyeachia ngazi baada ya kashifa mbaya ya richimond Lowasa bilaa kufafanua leo amesema kuwa aombewe kwenye safari yake aliyoanza

Maswali niliyyojiuza kwani Lowasa anafanya hivi

Unaandasherehe unatuma nauli kwa wahudhuriaji

Unachinja ng'ombe hamsini na mbuzi nyingi ili iweje ?

Kubwa sana kwanini utoe nauli kwa wahudhuriaji kama kweli wanakupenda wangekuja kwa hela zao wenyewe

Lowasa jeshi la kununua halifai wangekuja kwakupenda wenyewe ingekuwa sawa
acha kulalamika buni strategy zako,mnalalamika sana ndio maana bosi wenu sitta alicharazwa viboko na mwalimu kwa kulalamikalalamika au kungojea kuoteshwa,lowasa for muungano presidence and january Tanganyika mtaisoma mwaka huu
 
Bora katangaza mapema hakika kibaya chajitembeza,Amuongoze nani huyu chizi?

Kweli, hili bonge la chizi! Sijui kwa nini haamini kwamba atakufa bila kuwa rais!

Binafsi nawachukia wana JF wanaoshindwa kuonyesha kukuwa kwa fikra na kuanza kumpa support kiumbe aliyeiba ktk nchi hii. Hisia yangu ni kwamba ukabila na ukanda umeshika kasi kiasi kwamba watu hawahitaji tena mtu mzuri. Hata takataka ilimradi anatoka kwenu.

Yaani tunahitaji ahadi za kipuuzi kama hizi?
 
siku nyingine andika bila kuutwika dada , japo ulichoandika kina maana kubwa sana .
 
Back
Top Bottom