Lowassa, Jeshi lakununua halitakufikisha mzee wetu!

Lowassa, Jeshi lakununua halitakufikisha mzee wetu!

Ww ni muhuni zaidi ya mateja wanaobugia unga,kazi yenu wamasai mnatumikia tumbo hilo halina ubishi ila sijui mtakula wapi tena vya bure maana mwizi wenu hapati chochote kamwe, shame upon you mnaenda kula makombo na nyama za mitambiko eti wachungaji wanabariki nao uchawi? Yaani low has atakwenda motoni na wengi, poleni mafisi wa lowassa.
mimi nimehudhuria na sijapewa nauli. Kama umekosa cha kupost soma za wenzako. Lowassa anapendwa na anapendeka. Hata wewe ungekuja ungemkubali tu! Toa hoja maana yake bado umeandika vihoja tupu
 
Stupid people will not change the subject....hata mimi niliandaa sherehe za Christmas na mwaka mpya na watu walikula na kunywa...je,nataka Urais!
 
Jamani nini kinacho wasumbua kwanini kama tuna hasira tusigombane na hawa walio pita? Walio chafua ikulu?.
Hizo ni chuki zenu wazee jamaa yupo poa.
Tatizo mnaishi kwa kurithishwa matatizo,maneno napia mawazo.Ndo mana tunaambiwa tuna mawazo mgando.
Wacheni hizo.
 
waziri mkuu aliyeachia ngazi baada ya kashifa mbaya ya richimond lowasa bilaa kufafanua leo amesema kuwa aombewe kwenye safari yake aliyoanza

maswali niliyyojiuza kwani lowasa anafanya hivi

unaandasherehe unatuma nauli kwa wahudhuriaji

unachinja ng'ombe hamsini na mbuzi nyingi ili iweje ?

kubwa sana kwanini utoe nauli kwa wahudhuriaji kama kweli wanakupenda wangekuja kwa hela zao wenyewe

lowasa jeshi la kununua halifai wangekuja kwakupenda wenyewe ingekuwa sawa

ukishikwa shikamana
 
Tuwe wavumilivu ndg zng lowassa ndo kaanza kujiweka wazi na heri yeye kuliko wale wanaojibu mapigo wakiwa handakini
 
bunge la jamhuri ya muungano lilimhusisha ndugu LOWASA ( siyo mheshimiwa ) na RICHMOND , je ametakaswa ?
 
Tuwe wavumilivu ndg zng lowassa ndo kaanza kujiweka wazi na heri yeye kuliko wale wanaojibu mapigo wakiwa handakini

unaweza kutuambia lile jengo la uvccm alilolipangisha kwa miaka 99 , alifanya hivyo kwa manufaa ya nani ? Na kwa ruksa ya nani ?
 
Kwani erythrocyte wewe umepewa bei gani kumtukana lowassa?

kamanda nilikuomba uniwekee hayo matusi niliyotoa lakini umeshindwa ! Je nikikushtaki kwa viongozi wa jukwaa ili ule ban ya maana utamlilia nani?
 
I see VYURA wanabweka kwa nguvu ati NG'OMBE aogope kujinywea maji !! Teh teh yaani Ni hasara tupu kulalia bahati ya mwenzako mlango wazi huku umeyatoa macho kama mlinzi wangu, cheki kwanza mambo yako yalivokuzidi uzito!
Upende usipende U SHALL PUT YOUR HANDS TOGETHER FOR the 5th PRESIDENT EDWARD N. LOWASSA. God curse those who curse ur servant EDWARD and blec those who blec ur servant, Amin!
 
Back
Top Bottom