Lowassa, Jeshi la mtu mmoja dhidi ya wafa maji CCM

Lowassa, Jeshi la mtu mmoja dhidi ya wafa maji CCM

Nyalandu atuambie wale twiga waliopanda ndege KIA watarudi lini? name mwakyembe aseme kweli report ya Richmond iliyoibeba serikali isianguke na mabehewa mabovu aliyonunua TRL
 
Mkapa yupo wapi? Alitakiwa awepo MAANA ndiye 'Mgombea' aliyepenyeza 'kete yake' kupitia hiyo sura Mpya!

Tujikumbushe kidogo ktk Jimbo la Arumeru Mashariki na Tabora kwa Rostam Azizi, ilienda Serikali nzima na marais wastaafu akiwepo Mkapa lakini Joshua Nassari (Arumeru) na Kashindye (Tabora) pamoja na Uchanga WAO ktk siasa, waliwang'oa megego (meno) hadi akina Wassira na Mchemba wakatoroka usiku wa manane huku wakilia machozi!

Tusubirie UKAWA wafungulie baragumu ndiyo hili 'kundi la taarrab' litapoteana kama walivyopoteana kule Arumeru na kwingineko. Ni kiasi cha kusubiria...!

Naibu Katibu Mkuu CDM Z'bar Mh Salum Mwalimu huwa analo NENO timilifu la wataalam analoliita 'BASRAF'...yaani ni kama 'fungulia kinywa' au 'appetiser' tu, bado menu au chakula chenyewe...! Tusubirie kidogo UKAWA watawanyamazisha wanataarab sawia!
 
Hahahahahaa! Wote Hao Ni Saizi Ya Mnyika Tu Wakija Kwa Edo Ni Habari Nyingine.
 
Huyo Wassira ni zinjathropus au??,anayitisha nyara ya taifa
 
Hivi mzee six pale nyuma analia au? Maana sijalielewa lile pozi aisee
 
Back
Top Bottom