Kuzunguka na Lowasa?Kwanza hapo wasitarajie mtu kama Mwakyembe au Sendeka au sijui nani kuzunguka na lowasa make hawa kwenye majimbo yao hawana uhakika wa kurudi Dodoma
team yenyewe mbona wamechagua watu weak sana
.Ha ha ha!
Hii katuni imebeba ujumbe mzito sana.