tatizo unachanganya siasa na imani nahisi utakuwa mmoja kati ya wanafunzi 900 wa gwajimaLutheran..katoliki angelican sabato pentecoste TAG wote ni wakristo..Yesu alikuwa na wanafunzi 12 na kila mmoja anajinsi yake ya mafundisho ndo maana wakagawanyika...ni kitu cha kawaida sana kwa msabato kusema msabato mwenzangu...namwelewa makamba akilalamika kwa sababu hajui kanisa ni nini..ila kwa wakristo mnaomsema lowasa kwa ajili ya kikombe cha chai.. jua biblia inasema utahukumiwa kwa maneno ya kinywa chako..
nchi hii ni yetu sote. sio ya waislam na wakatoliki peke yao. hata walutheri waliozaliwa hapa ni watanzania pia. wanahaki ya kuchagua na kuchaguliwa. sijui kama wengi mnalielewa hilo.
si vizuri watu wengine wajione kuwa marginalized kwenye nchi yao. nasisitiza sio vizuri hata kidogo.
HILI LIZEE linafiki sana leo anajifanya linampongeza mufti wakati halitaki kura za waislam, wakatoliki, wasabato, wapentecoste na wapagani, eti linataka kura za #WALUTHERI tu, swine kabisa hili lizee tena ovyoooo kabisa kuliko wadudu waishio na kinyesi chooni.
Hatuangalii dini la mtu baali uadilifu wa mtu. Kama mtu anayetaka kuwa kiongozi kutoka ktk dini lolote halafu si muadilifu huyo hafai kuwa kiongozi na hatuwezi kumchagua.
Hilo wala lisikupe shida, tunajuwa ku deal nao hao. Lakini si mlutheri kama atakavyo fisadi gonjwa mlutheri Lowassa.
nilikuwa nawakumbusha hao wanaowatukana walutheri as if hawana haki ya kuwa viongozi kwenye nchi hii. hayo mengine uliyoandika tupo pamoja.Hatuangalii dini la mtu baali uadilifu wa mtu. Kama mtu anayetaka kuwa kiongozi kutoka ktk dini lolote halafu si muadilifu huyo hafai kuwa kiongozi na hatuwezi kumchagua.
Lowassa ana akili sana anafaa kuwa raisi...wagombea wengine ni kampeni tu wamesahau hata vipaumbele vingine kama hiki cha kuwapongeza waislam kupata mufti mpya..
Punguzeni jazba ebu tukumbushane taratibu,hivi kuna kiongozi mwingine aliyewahi kutoa michango kwa taasisi za dini ya kiislamu kumshinda Lowassa?ukinithibitishia hilo basi nitakubali kwamba kweli Lowassa nimnafiki.
Nani kama lowasa jamani?
Anajikosha tu kwa Waislam. Akili yake ipo kwa Walutheri wenzake
Anataka kujipendekeza, huyo si ndiyo alisaini MoU ya upande mmoja? Kuelekeza misaada kwa Wakristo pekee.
Hatusahau na hatudanganyiki na kura hatumpi - Mkumbushe.
Anajikosha tu kwa Waislam. Akili yake ipo kwa Walutheri wenzake
Hiyo akaunti inamilikiwa na Ocampo four. Lowasa hawezi hata kuweka saini
Na mungu akupe na wewe ugonjwa usiotibika kama unavyomnanga Lowasa kuwa ni mgonjwa.upate ugonjwa wa laana ambao kila unavyopata maumivu unamkumbuka Lowasa akuombee msamaha kwa mungu akupunguzie maumivu.
Hongera mama Regina maana naona unaanza kuchukua majukum ya mke wa Lowasa.Hiyo akaunti inamilikiwa na Ocampo four. Lowasa hawezi hata kuweka saini