lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,198
- 28,080
.... action? ina maana hajaacha kumbonda mkewe ka gunia la mazoezi ya ngumi?
😕😕mapya haya..mkuu anamtwangaga mkewe?
.... action? ina maana hajaacha kumbonda mkewe ka gunia la mazoezi ya ngumi?
Mkuu,lowasa ni kweli anapendwa na watu wa kawaida ila kwenye system,kwa lowasa ni pagumu sana kumpitisha lowasa.
Sasa pua itagusa vipi wakati aliashaiangukia na kuivunja. MwenewachuAchilia mbali 5 bora Lowassa hata pua yake haitagusa.
Mkuu nimepitia bandiko lako na kulielewa sana,ila kwa habari za ndani ya chama na serikali ni kuwa kuna uwezekano wa rais akatoka zanzibar,ili kukwepa lawama za wabara waliotangaza nia na wanaotegemea kutangaza nia,uwezekano wa Dr shein akapitishwa kugombea ni mkubwa,ila tusubiri maana hakuna mwenye uelewa wa jambo Hilo 100%, zaidi wakubwa wa nchi.
Jamani nyie mnaongea tu kwa kubwabwaja maneno,hakika hakuna mwenye ushawishi hapo ccm kama Lowasa....ninawaambia Rais ajaye ni Edward Lowassa....nashangaa kila siku watu wanamsema yeye tu...lakini mti wenye matunda ndo hupigwa mawe
Ikitokea Team Lowassa wameunganisha nguvu kwenda UKAWA, CCM itakuwa Salama?
Muhogo ndo mpango mzima na mkubari sana huyu jamaa ni mzee wa action akosema ndio au hapana ni hivyo hivyo akikosa endapo ccm itashinda wampe uwaziri mkuu anafaaa