Lowassa hawezi "Magufulika"

Status
Not open for further replies.

Mme kosa tuhuma kwa Magufuli mnahaha, Kila siku habari ya Nyumba bila kuitaja ni Nyumba ipi. Hospitali zijiandae kutokea wagonjwa wa pressure October mwishoni maana hamtaamini. CCM kwa kumteua Magufuli wamecheza heko.
 
Magufuli siyo kiongozi ni muigizaji wa filamu.PushAp za kitandani apeleke kwa mkewe.
 
Mme kosa tuhuma kwa Magufuli mnahaha, Kila siku habari ya Nyumba bila kuitaja ni Nyumba ipi. Hospitali zijiandae kutokea wagonjwa wa pressure October mwishoni maana hamtaamini. CCM kwa kumteua Magufuli wamecheza heko.

Pole sana. Umechelewa na ndege imeshapaa tayari......
Magufuli mkurupukaji
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…