Lowassa hatari sana

Imekuwa kawaida kwa siku za usoni bwana lowasa kuchangia masuala mbalimbali huku akiita media kibao.Nadhani yupo kwenye kubembeleza kura za urais 2015.Nadhani anadhani tumemsahau kwa mabaya aliyotufanyia[/QUOTE


wewe nawe hamnazo kweli, haya basi sema hayo mabaya alokufanyia, sio kulalama tu, alafu sikunyingine sentesi zako usitumie wingi kama hujatumwa na wengi.

Kwani na wewe unapopayuka payuka hujui au unataka kutetea upupu tu, afu kumbuka huyu alikataliwa na mwalimu kama Jk alivyo kataliwa embu ona sasa alivyotuharibia nchi yetu ndani ya miaka 6 tu na ikitimia miaka 10 tutakuwa tushatangaziwa nchi imefilisika
 
Ila ni mgonjwa wala.musiwe na wasi wasi. Dalili za kuwa ana Parkinson Syndrome zote anazo. Angalia mwendo wake anatembea kama ameshikiliwa, anapoongea midomo inamcheza hata mikono onatetemeka kama mtu aliyelewa chang'aa
 
Back
Top Bottom